PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uchumi wa kenya ni mkubwa kulipo wa Tanzania .
Sh 500 ya Kenya ni sawa na sh 10,435 .
Hivi ushakwenda mavijijini huko ukaona watanzania wanavyoishi.
Tuache kujimwambafai kiuongo ukweli ni kwamba wakenya wametuacha mbali sana
 
Tusaidie mzalendo uongo wa mbunge wa kenya ni upi
Kwamba hatuna rasilimali nyingi?
Kwahiyo wao wanashindwa kuwa nchi tajiri kwa sababu hawana raslimali?! Raslimali ipi ya ziada wanayoitaka zaidi ya ardhi, mito na maziwa, bahari lakini pamoja na yote hayo hata uhakika wa chakula mara kwa mara wamekuwa hawana!! Tuseme wao ni wasomi- usomi wao umesaidia nini kuiondoa nchi kutoka kwenye upigaji na ukabila?! Usomi wao umewasaidia katika kupambania maslahi ya wengi badala ya nchi kuhodhiwa na wachache, tena viongozi?! Btw, ni wasomi kweli au mnaamini ni wasomi kwa sababu wanaweza kuunganisha unganisha maneno ya kiingereza moja ya mambo yanayowafanya muwaabudu wakati wapuuzi tu?! Kabla hawajaanzisha mfumo wa kiseneta, Mbunge wa Kenya alikuwa analipwa pesa nyingi kuliko wabunge wa nchi kadhaa za Ulaya! Sasa hapo usomi wao una faida ipi kwa wananchi wakati inaonesha wazi hawana tofauti yoyote na Wabunge wa Samia ambao na wanachojali ni maslahi yao tu!!
 
Hiki ndo Sa100 anataka kileta nchin kwetu , mkatae Sa100 na sio kuhangaika na Kenya
 
Unakumbatia viongoz wa drs la 7?
 

Mzee Ali Kibao katekwa mchana kweupe kaenda kuuwawa, alphonce mawazo kavamiwa na kuuwawa mchana kweupe, watu wanatekwa mchana kweupe wanapotezwa unaongea ukuma wa amani gani hapa ****** nini wewe
 
Fupi Kali hii.
 
So what??
 
Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali

Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
Shida mfumo ndani ya chama kikongwe namna ya kuwapata wagombea si mtu, kama huamini Oktoba leta majina hapa utatamani ufute ulichoandika. Sifa kuu kuwa chawa sifa ya ziada kujua kusoma na kuandika baaaaaasi umemaliza mlango wa bunge huoooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…