Na huo ndio UKWELI halisi, anaebisha ni NYUMBU wa ukweli
Unalinganisha haki za binadamu Kati ya Tanzania na Marekani?
US,na mapungufu yake yote,ndio kimbilio la kila mtu anayeonewa kwenye nchi yake,
Majeshi ya Us yanaondoka Afghastan,sasa hv kila Raia anaomba nafasi aende US,kwanini hawaombi kwenda Saudia,Indonesia,Iran,au Pakistan?
US anauwezo mkubwa wa kushawishi,kwa mabavu au kidiplomasia,
Russia,china,Uturuki huwa wanashikishwa adabu,we unahoji kama wataweza kufanya hivyo Bongo?!!
Lisu aliokolewa na nani wakati wanyonya damu wa Jiwe walipozingira maeneo ya ubalozi wa ulaya,km chache kutoka Ikulu?
Usilinganishe US na vinchi vya afrika