Euroleague
JF-Expert Member
- Apr 11, 2020
- 515
- 1,410
Daaaah mbona bonge la handicap 9 - 0 . Hapo labda Lisu aka Luca Doncic aka Luca Magic, ndio awakomboe upinzani. Naimani TAL atapiga step back and let all of us Free.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jonas Nkya aligombea na kupitishwa kwenye kura maoni CCM jimbo la Mikumi, Ila kamati kuu ikakata jina lake ikamteua mtu mwingine anaitwa Lazaro kugombea Jimbo Hilo ambalo atashindana na Joseph haule wa Chadema ambaye anatetea Jimbo Hilo. Tatizo huyo rafiki yako jonas Ni tapeli Sana na mwizimwizi pamoja na elimu yake ya sheria.Kuna rafiki yangu anaitwa jonas nka sijui ndio huyu
Hii ndio tunataka kusikia wakati huu na baada ya uchaguzi. Sio hivyo tu bali kama kuna sehemu wagombea wa ccm wamekiuka baadhi ya kanuni za uchaguzi, pia wawe wamekosa uhalali wa kisheria kuendelea na uchaguzi.Yote lazima yawekewe pingamizi
Uhuni sasa basi
💥🎶🎼💃🕺💃🕺🎧🥁🎤Wewe tulishakudharau kila kitu unashindwa tu. Kwenye kutangaza vifo vya corona umeshindwa leo tena ulikuja na ngonjera ya kutekwa kwa wagombea wa saccos nako umeshindwa! Hata hili nalo utashindwa tu!
Na ile ofisi mliofunga siku ya kurudisha fomu deadline yake ilikuwa Juzi? Acha kutetea upuuzi wa kijinga.Picha zinakua zimegongwa muhuri na unakua umegusa karatasi..SASA kama alikua mbunge wa viti maalum na alijaziwa kule ofisini na wataalamu ni vigumu kukosea but now kuna pirika kibao kwenye hivyo vyama na kila mmoja anapambana kivyake but we angalia CCM..wenyeviti,makatibu wa mikoa na wilaya wengi wako maofisini kuwasaidia wagombea wao.. tofauti na vyama vingine unakuta kuanzia Mwenyekiti wa Taifa na safu nzima ya Viongozi wa kitaifa,Mkoa na Jimbo wote wanagombea ubunge,udiwani hata urais...as the result hawana officials ambao wametulia kuwapa miongozo na msaada wa kiofisi...na mbaya zaidi siku ya kurejesha form ni moja tuu na deadline ni saa 10.
Huyo Nkya ni yule mtoto wa yule Mama aliekuwa Wizara ya Afya?Jonas Nkya aligombea na kupitishwa kwenye kura maoni ccm jimbo la Mikumi, Ila kamati kuu ikakata jina lake ikamteua mtu mwingine anaitwa Lazaro kugombea Jimbo Hilo ambalo atashindana na Joseph haule wa chadema ambaye anatetea jimbo hilo. Tatizo huyo rafiki yako jonas Ni tapeli Sana na mwizimwizi pamoja na elimu yake ya sheria
Vipi kama ulizipiga zote, Backhouse one and two? 😁😁Inavyoonekana kujaza form ya NEC kwa usahihi ni vigumu sana kuliko kufaulu mtihani wa APPLIED MATHEMATICS hasa kama ulisoma BAM tu.
Haya mambo ndiyo yanayo ifanya tume ilalamikiwe!. Hujuma za wazi hufanywa return officers wa tume na hakuna anaye wawajibisha.hivi ni wagombea wa upinzani tuu ndio wakosa vigezo? NEC hili taifa tunalipenda sana maana hakuna sehemu nyingine nzuri kwa watanzania ispokuwa tanzania.
Acheni ngiriba za kupendelea chama kimoja dhidi ya vyama vingine. mtenda haki hulipenda taifa
Siasa ni mchezo mbaya sana. Kama unataka kuishi maisha marefu, kuzima mishumaa 101 kwenye Birthday yako; kaa mbali na mdudu anaitwa siasa. Na hii haijalishi ni siasa za huku kwetu au za huko wanakotudanganya kuwa kuna demokrasia. 😅😅Rushwa ni tatizo kubwa wagombea wengi wa Chadema ambao ni Chaguo la Kada wa Chama cha Mapinduzi na mmiliki halali wa Chadema Mbowe ni mamluki walioko after money.
Wanatangaza nia na kumtumia Kada mwenzao Mbowe ili wapige pesa.
Majimbo yote yanayoshikiliwa na mawaziri na Wafanyabiashara hua wanapita bila kupingwa kwa sababu ya pesa zinazotumika kununua washindani wao ili wasipate kazi ya kampeni!
Hayo majimbo ya mawaziri na Wafanyabiashara ni dili kwa Mbowe na vinaraka wake anaowapitisha ili wakagombee. Ndio maana anang'ang'ania wao ndio wagombee. Baadae wanajifanya kuwa Mara wamekosea, Mara wamenyanganywa form kumbe wameshakula mpunga.
Hivi kweli devota anashindwa kujaza fomu?
Naunga mkono hojaRushwa ni tatizo kubwa wagombea wengi wa Chadema ambao ni Chaguo la Kada wa Chama cha Mapinduzi na mmiliki halali wa Chadema Mbowe ni mamluki walioko after money.
Wanatangaza nia na kumtumia Kada mwenzao Mbowe ili wapige pesa.
Majimbo yote yanayoshikiliwa na mawaziri na Wafanyabiashara hua wanapita bila kupingwa kwa sababu ya pesa zinazotumika kununua washindani wao ili wasipate kazi ya kampeni!
Hayo majimbo ya mawaziri na Wafanyabiashara ni dili kwa Mbowe na vinaraka wake anaowapitisha ili wakagombee. Ndio maana anang'ang'ania wao ndio wagombee. Baadae wanajifanya kuwa Mara wamekosea ,Mara wamenyanganywa form kumbe wameshakula mpunga.
Hivi kweli devota anashindwa kujaza fomu?