Fadhilim
JF-Expert Member
- Feb 3, 2013
- 362
- 303
Sasa huyo wa jimbo la Mvomero-Morogoro mbona jina lake halifanani na jina la Mwafrika yeyote popote duniani. Au suala la kuchunguza uraia wa watu linatokea tu pale ukisema umenikanyaga naomba uondoe mguu.
Nyongeza ya hapo suala la kutokidhi vigezo kwa nini linakuwa kwa wagombea wa upinzani tu.
Kuna mambo hata mtoto wa darasa la pili B anajua kabisa kuna hila zinafanyika.
Nyongeza ya hapo suala la kutokidhi vigezo kwa nini linakuwa kwa wagombea wa upinzani tu.
Kuna mambo hata mtoto wa darasa la pili B anajua kabisa kuna hila zinafanyika.