zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha speculation mkuu, huyo Fatshi kachomoa element zote za kabila kina Oliv Mutond, pia mkuu wa counter intelligence, bado Mkuu wa majeshi kiufupi kabila amepunguzwa ushawishi.Kwanza Tsheked hakushinda bali ule ulikuwa mpango wa Kabila,
Na mpaka sasa hivi Kabila bado ana mamlaka pale Congo kama hujui.
Kuhusu Mshindi halisi let's say ni Fayulu mbona alizidiwa wabunge na Ramazani mwenye 20% ya kura za Urais? Majimbo hayaakisi namba ya wapiga kura kabisa hilo lifahamu leo.