Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani
Kwanza Tsheked hakushinda bali ule ulikuwa mpango wa Kabila,
Na mpaka sasa hivi Kabila bado ana mamlaka pale Congo kama hujui.
Acha speculation mkuu, huyo Fatshi kachomoa element zote za kabila kina Oliv Mutond, pia mkuu wa counter intelligence, bado Mkuu wa majeshi kiufupi kabila amepunguzwa ushawishi.

Kuhusu Mshindi halisi let's say ni Fayulu mbona alizidiwa wabunge na Ramazani mwenye 20% ya kura za Urais? Majimbo hayaakisi namba ya wapiga kura kabisa hilo lifahamu leo.
 
Inakuwaj hivi halafu kuna watu wanashangilia haya kutokea...sisi ni watanzania kwanza kabla ya kuwa wanaccm, wanachadema n.k
 
hivi ni wagombea wa upinzani tuu ndio wakosa vigezo?
NEC hili taifa tunalipenda sana maana hakuna sehemu nyingine nzuri kwa watanzania ispokuwa tanzania.
Acheni ngiriba za kupendelea chama kimoja dhidi ya vyama vingine.
mtenda haki hulipenda taifa
Kama hawana vigezo, basi hawana vigezo na sheria na kanuni zinafuata mkondo wake. Hapa ni sheria tu siyo suala la kubebana au upendeleo. Kama vipi, wakate rufaa kupinga hayo maamuzi.
 
Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua...
Hii issue ya Mh. Kabudi kuingia kwenye kinyag'anyiro kwa mara ya kwanza tu halafu anapita bila kupingwa ingekuwa kwenye mtihani tungeiitaje?

Kwenye mtihani tulikuwa tunaiita PER SINGLE SITTING lakini naona hii ni zaidi hata per single sitting, maana alitakiwa kuwa na mpinzani kwanza halafu amshinde halafu ndiyo iwe per single sitting. Sasa hii ya kukosa kabisa mpinzani tutaiitaje?
 
Kuna watu wana akili za kushikiwa...uko Machochwe - Serengeti unahoji kwanini mgombea Ubunge Jimbo la Ruangwa anapita bila kupingwa...POLE
 
Katiba yetu inatambua Ubunge wa 1 Ubunge wa kuchaguliwa, 2Ubunge wa kuteuliwa na 3Ubunge wa Mwanasheria Mkuu.

hakuna Ubunge wa bila kupingwa
 
Jimbo la Dodoma Mjini
Anthony Mavunde
Benson Kigaila - Naibu Katibu Mkuu CHADEMA nakulaumu sana kwa hili. Ungerudi tena hapa jimboni wananchi wako tulikuwa tayari tumejipanga kukupigania. You deserve it ila sijui ulikwamia wapi tu. Saa nyingine wapinzani tunashindwa kwa sababu ya mikakati tu
 
Moja ya mikoa iliyo potential kwa CHADEMA ni huu mmoja wapo. Nimesikitika sana kuona watu wakipita kinamna namna kiasi hiki tena kwa figisu za kijinga eti wameenguliwa
 
Sai pande za south ni mwendo wa kupita bila kupingwa aisee[emoji23][emoji23]

Sababu kuu eti hawakukidhi vigezo, sasa kinachonishangaza mimi eneo bunge atakosekanaje mtu mwngine kando na ccm anayejua kusoma na kuandika.

Manake pande za south kigezo kikuu ni kujua kusoma na kuandika tu, mengine ni mambo madogo, kama vile ukiwa mnyonge mwenzio anakuminya hadi ukubali.

Yaleyale ya serikali za mitaa ya 99%, kw mwendo huu tuzo la udikteta anapewa jiwe.

FB_IMG_15984418503513363.jpg
 
Sai pande za south ni mwendo wa kupita bila kupingwa aisee[emoji23][emoji23]
Sababu kuu eti hawakukidhi vigezo, sasa kinachonishangaza mimi eneo bunge atakosekanaje mtu mwngine kando na ccm anayejua kusoma na kuandika..

Manake pande za south kigezo kikuu ni kujua kusoma na kuandika tu, mengine ni mambo madogo..km vile ukiwa mnyonge mwenzio anakuminya hadi ukubali..
Yale yale ya serikali za mitaa ya 99%, kw mwendo huu tuzo la udikteta anapewa jiweView attachment 1548664
Tunawachek tu wanadhan sie wajinga

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Sai pande za south ni mwendo wa kupita bila kupingwa aisee[emoji23][emoji23]
Sababu kuu eti hawakukidhi vigezo, sasa kinachonishangaza mimi eneo bunge atakosekanaje mtu mwngine kando na ccm anayejua kusoma na kuandika..

Manake pande za south kigezo kikuu ni kujua kusoma na kuandika tu, mengine ni mambo madogo..km vile ukiwa mnyonge mwenzio anakuminya hadi ukubali.

Yale yale ya serikali za mitaa ya 99%, kw mwendo huu tuzo la udikteta anapewa jiweView attachment 1548664
Nafuu siasa ya bongo kuliko za kenya


JamiiForums-1520863661.jpg
 
Kwahiyo wagombea wa ubunge vyama kumi 15 jimbo la mtama kwahiyo hakuna hata mmoja aliyejua kujaza fomu au kufika kwa muda Amejua nape pekeyake jami munacheza na sindano ktk jicho
 
Uhuru Kenya kapiga hela ta korona unakuja kuwashwa na mambo yetu, dili na wezi wenu kwanza, ...
 
Back
Top Bottom