zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha speculation mkuu, huyo Fatshi kachomoa element zote za kabila kina Oliv Mutond, pia mkuu wa counter intelligence, bado Mkuu wa majeshi kiufupi kabila amepunguzwa ushawishi.Kwanza Tsheked hakushinda bali ule ulikuwa mpango wa Kabila,
Na mpaka sasa hivi Kabila bado ana mamlaka pale Congo kama hujui.
Wizi upo ndio maana mmekataa tume huru. Ww hujawahi kuwa wakala so huwezi elewa unaona ni kelele tu.Mkuu tutarudi hapa baada ya oktoba kubishania wizi wa kura kama kawaida yenu
Kama hawana vigezo, basi hawana vigezo na sheria na kanuni zinafuata mkondo wake. Hapa ni sheria tu siyo suala la kubebana au upendeleo. Kama vipi, wakate rufaa kupinga hayo maamuzi.hivi ni wagombea wa upinzani tuu ndio wakosa vigezo?
NEC hili taifa tunalipenda sana maana hakuna sehemu nyingine nzuri kwa watanzania ispokuwa tanzania.
Acheni ngiriba za kupendelea chama kimoja dhidi ya vyama vingine.
mtenda haki hulipenda taifa
Hii issue ya Mh. Kabudi kuingia kwenye kinyag'anyiro kwa mara ya kwanza tu halafu anapita bila kupingwa ingekuwa kwenye mtihani tungeiitaje?Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua...
Ya serikali za mitaa kujirudia.Duu kama ni kweli basi ni 4 bila
Huyo Nkya ni yule mtoto wa yule Mama aliekuwa Wizara ya Afya?
Benson Kigaila - Naibu Katibu Mkuu CHADEMA nakulaumu sana kwa hili. Ungerudi tena hapa jimboni wananchi wako tulikuwa tayari tumejipanga kukupigania. You deserve it ila sijui ulikwamia wapi tu. Saa nyingine wapinzani tunashindwa kwa sababu ya mikakati tuJimbo la Dodoma Mjini
Anthony Mavunde
Na ili kuwakomesha, waandikie Tume Huru ya Uchaguzi mkizikataa kura zozote mtakazopigiwa kutoka mkoa huu wenye WAPIGA KURA WAJINGA!Kati ya mkoa ya watu wajinga Tanzania pamoja na dodoma
Tunawachek tu wanadhan sie wajingaSai pande za south ni mwendo wa kupita bila kupingwa aisee[emoji23][emoji23]
Sababu kuu eti hawakukidhi vigezo, sasa kinachonishangaza mimi eneo bunge atakosekanaje mtu mwngine kando na ccm anayejua kusoma na kuandika..
Manake pande za south kigezo kikuu ni kujua kusoma na kuandika tu, mengine ni mambo madogo..km vile ukiwa mnyonge mwenzio anakuminya hadi ukubali..
Yale yale ya serikali za mitaa ya 99%, kw mwendo huu tuzo la udikteta anapewa jiweView attachment 1548664
Hahaaa!!siasa za bongo km za chekechea hiviMjinga jinga flani hivi
Hyo hatari, tena maeneo bunge kadhaa
Nafuu siasa ya bongo kuliko za kenyaSai pande za south ni mwendo wa kupita bila kupingwa aisee[emoji23][emoji23]
Sababu kuu eti hawakukidhi vigezo, sasa kinachonishangaza mimi eneo bunge atakosekanaje mtu mwngine kando na ccm anayejua kusoma na kuandika..
Manake pande za south kigezo kikuu ni kujua kusoma na kuandika tu, mengine ni mambo madogo..km vile ukiwa mnyonge mwenzio anakuminya hadi ukubali.
Yale yale ya serikali za mitaa ya 99%, kw mwendo huu tuzo la udikteta anapewa jiweView attachment 1548664