N hi ya anabu hii

kanuni za nec Ni za kuvizivizia ili kuminya nafasi za ushinda kwa kuwakataa wapinzani

Kuna Haja gani ya kurudisha fomu siku 2 na kufunga zoezi bila kutoa fursa kwa wale wenye excuse za kueleweka?

Fomu zikikosewa so zinarudiwa tu.

Mh raisi Lissu ukiwa raisi waambie CCM utafuta huu uhuni wa NEC ili nawao washiriki uchaguzi kwa uhuru
 

Picha zinakua zimegongwa muhuri na unakua umegusa karatasi sasa kama alikua mbunge wa viti maalum na alijaziwa kule ofisini na wataalamu ni vigumu kukosea but now kuna pirika kibao kwenye hivyo vyama na kila mmoja anapambana kivyake but we angalia CCM. wenyeviti, makatibu wa mikoa na wilaya wengi wako maofisini kuwasaidia wagombea wao.

Tofauti na vyama vingine unakuta kuanzia Mwenyekiti wa Taifa na safu nzima ya Viongozi wa kitaifa,Mkoa na Jimbo wote wanagombea ubunge,udiwani hata urais, as the result hawana officials ambao wametulia kuwapa miongozo na msaada wa kiofisi, a mbaya zaidi siku ya kurejesha form ni moja tuu na deadline ni saa 10.
 
Teh teh teh! Hamjiulizi, Mbona Halima Mdee, Sugu, Lema, Msigwa, Mwamba fomu zao hazijakosewa? kwa nini hao?
Biashara mkuu, wameshachukua chao mapema.

Kabla ya mapingamizi, wachunguzeni wagombea wenu kwanza.
Kweli rushwa mbaya Sana! Nadhani chama kinayajua haya Ila hawawezi sema hadharani, lakini huko tuendako baada ya kukamata Dola, haya yatatatuliwa
 
Teh teh teh! Hamjiulizi, Mbona Halima Mdee, Sugu, Lema, Msigwa, Mwamba fomu zao hazijakosewa? kwa nini hao?
Biashara mkuu, wameshachukua chao mapema.

Kabla ya mapingamizi, wachunguzeni wagombea wenu kwanza.
Hapana, hao wamekoseshwa na wasimamizi. Hakuna aliyejiengua zaidi ya kukamatwa na polisi au kukoseshwa na msimamizi. Kwa mfano Nape, Shabiby na Abood ni wahuni na tunawajua wamezoea kupita bila kupingwa kila ikifikia uchaguzi mkuu. Waambieni kuwa this time wamefeli. Na huo uhuni wao tutauyeyusha!
 
Najiuliza tu hawa matajiri waliogombea ubunge kupita bila kupingwa inatoa tafsiri gani?

Je, wanapendwa sana na wananchi au utajiri wao ndio unapendwa?

Kwa mfano Aboud na Shabiby ambao wamepita bila kupingwa hawa ni wajamaa kweli kweli wanaotaka kazi iendelee?

Anyway, ushindi wao ni ushindi kwa CCM hongera kwao!
 
Kielelezo kuwa CCM bila kuwa na ukwasi uliopatikana na ufisadi kupata nafasi za uongozi hasa ubunge ni ndoto.
 
SASA sikilizia Kula za urais zitakavyokua nyingi kutoka majimbo hayo. CCM hodari sana, yaani Diamond alivyoimba ule wimbo ndio nilijua ni either anakipaji cha kuona mbali au aliletewa mashairi na waona mbali kuwaandaa watu kisaikolojia.
 
Morogoro mkoa uanaoongoza kwa vyuo vikuu Bora kabisa SUA,MZUMBE nk lkn wanakua mazezeta hv mnaongozwa na std seven wahuni shame!
 
Morogoro kuna shida sana,yaani Zeland!Kwanza yuko kimaslahi zaidi,halafu Mholazi.Hivi Mswahili hakuna?


Unaposema "Mholanzi" sio sawa kabisa na huo utakuwa ni ubaguzi.

Baba yake alikuwa ni Mtanzania mwenye asili ya uholanzi na mama yake ni Mzigua wa huko Turiani hivyo Jonas ni Mtanzania, sasa leteni hoja za kuipinga uteuzi wake lakini msilete hoja za kibaguzi kama walivyokuwa makaburu wa Afrika kusini waliowabagua waafrika kwa ajili ya Uafrika na rangi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…