Wqnajaziwana NEC...Najiuliza tu "HIVI KUNA SEHEMU WA UPINZANI ATAPITA BILA KUPINGWA?"
HIVI HAWA WA CCM WANA UWEZO WA KUJAZA FOMU KULIKO WENGINE!?
Tundu Lissu wenu anamtegemea beberu wake Amsterdam, huoni mlivyowajinga?Hao wakurugenzi wa halmashauri hizo walioendesha uhuni huo wanamjua Tundu Lissu na wakili Kibatala. Wataweza kujibu maswali yao kesi za kupinga ushindi zitakapo anza.
Hakika kwa utaratibu huu Kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na tume huru ya uchaguzi inayojumuisha vyama vyote na taasisi za kidini ili kuwe na usawa katika utoaji wa elimu juu ya ujazwaji wa fomu kwa wagombea na uchaguzi kwa ujumla.Bado najiuliza tafsiri ya neno demockrasia na dhana nzima ya uchaguzi wa demockrasia na viashiria vyake.Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
CCM imepita bila kupingwa katika majimbo haya:
1. Misungwi,
2. Ruangwa,
3. Ushetu,
4. Morogoro Mjini,
5. Mvomero....
Ukishatangazwa mshindi hakuna pingamizi kwenda NEC ni Kufungua kesi mahakamani ambako shauri huendaYote lazima yawekewe pingamizi
Uhuni sasa basi
20Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
CCM imepita bila kupingwa katika majimbo haya:
1. Misungwi,
2. Ruangwa,
3. Ushetu,
4. Morogoro Mjini,
5. Mvomero,
6. Kilosa,
7. Mtama,
8. Gairo
9.Kongwa
10. Namtumbo
11. Kavuu
12. Katavi
13. Morogoro Kusini
14. Chamwino
15. Kondoa
16. Mpwapwa
17. Vwawa
18. Dodoma Mjini
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets hapa.
Updates
1. Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro una Majimbo 11 hadi sasa CCM Imepita bila kupingwa 6
- Jimbo la Kilosa
(Prof Kabudi)
- Jimbo la Gairo
(Ahmed Shabiby)
- Jimbo la Mvomero
(Jonas Vanzland)
- Jimbo la Morogoro kusini
(Innocent Kalogeris)
- Jimbo la Morogoro kusini mashariki
Hamis Tale Tale (Babu Tale)
- Jimbo Morogoro Mjini
( AbdulAziz Abood)
2. Mkoa wa Katavi
- Jimbo la Kavuu
Geophrei Mizengo Pinda
3. Mkoa wa Mwanza
- Jimbo la Misungwi
Alexander Mnyeti
4. Mkoa wa Lindi
- Jimbo la Ruangwa
Kassim Majaliwa
- Jimbo la Mtama
Nape Nnauye
5. Mkoa wa Shinyanga
- Jimbo la Ushetu
Elias Kwandikwa
6. Mkoa wa Dodoma
- Jimbo la Kongwa
Job Ndugai
- Jimbo la Chamwino
Deo Dejembi
- Jimbo la Kondoa mji
Ally Juma Makoa
7. Mkoa wa Ruvuma
- Jimbo la Namtumbo
Vita Kawawa
Hapo Tume/wasimamizi wanakosea Sana.. huwezi kumfanyia MTU unyama wa namna hiyo, watu wametumia resources na muda wao kwenye mchakato alafu unawafungia ofisi..huo si utu..hao wakurugenzi kwakweli wakifanyiwa Jambo Baya na watu wenye hasira hakuna atakayewaonea hurumaHakuna resources wala nini
Mfano mtu anarudisha fomu mkurugenzi hayupo,mtu anaporwa fomu,
Ccm 18 chadema 0Kawaambieni waendelee kujitekenya hao wapuuzi waliojiambia wamepita bila kupingwa. Safari hii hatutaruhusu upuuzi wa aina hiyo.
hivi ni wagombea wa upinzani tuu ndio wakosa vigezo?
NEC hili taifa tunalipenda sana maana hakuna sehemu nyingine nzuri kwa watanzania ispokuwa tanzania.
Acheni ngiriba za kupendelea chama kimoja dhidi ya vyama vingine.
mtenda haki hulipenda taifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu aliwaambia jazeni vizuri ili yasitokee yale ya selikali za mtaa.Mwenyekiti wako kajaribu kumuengua Lissu kimizengwe ila usalama wamemuambia asicheze na Lissu nchi itapinduka juu-chini
Najiuliza tu "HIVI KUNA SEHEMU WA UPINZANI ATAPITA BILA KUPINGWA?"
HIVI HAWA WA CCM WANA UWEZO WA KUJAZA FOMU KULIKO WENGINE!?
Wala si shida bali ni kujifanya wajanja. Sidhani kama mgombea Urais anazunguka kutafuta wathamini mikoani lakini haelewi kanuni zinataka wadhani kuhakikiwa na tume kwenye eneo husika? Ameipa kazi Tume yaTaifa Kuhakikia majina Dodoma siku ya kururisha fomu!!!Inavyoonekana kujaza form ya NEC kwa usahihi ni vigumu sana kuliko kufaulu mtihani wa APPLIED MATHEMATICS hasa kama ulisoma BAM tu.
Ukiwapitisha ww sio final authority final authority ni NEC ndiyo wenye appelate jurisdictionWqnajaziwana NEC...
Wewe ungekuwa ndiye mkurungenzi kisha chama chako kikaja na wamekosea sehemu uta kidisqualify?
Mimi ningewapitisha.
Kaka ushamsahau Moi Mara moja hii? Kaunda je? Sultan Jamshid je?Ccm 18 chadema 0
Alafu kuna mpuuzi mkoja anasema ccm itatatoka madarakani kisa anasapotiwa na amsterdam,
Usiwasemee watanzania wote, tupo ambao tumefurahi hao wa ccm kupita bila kupingwa kwenye hayo majimboloWatanzania mazwazwa kweli kweli, hivi mnaamini na kukubali kabisa kuwa wapinzani wameshindwa kujaza na CCM wameweza? Hata habari za kutekwa na kunyang'anywa fomu hamjazisikia? Na wale waliowekwa ndani na policeccm hamna habari? Zero kabisa CCM!
Utafanyaje wewe?Hao wakurugenzi wapuuzi wa CCM wala hatuwasikilizi. Narudia tena hakuna muhuni yeyote yule kuanzia waziri mkuu mpaka muhuni wa mwisho kupita kihuni kama walivyofanya. Tutaimba nao kuanzia kesho!
Nimeuliza kwa mfano wewe ndiye msimamizi wa uchaguzi hapo Morogoro.Ukiwapitisha ww sio final authority final authority ni NEC ndiyo wenye appelate jurisdiction