Hahaha................hiyo safi sana, Mimi pia napenda kuendesha.Wewe umri bado, mara ya mwisho yule mzee nilikutana nae kavuta Toyota Hilux ya 2021 kila muda anataka asafiri na miwani yake akiwa kwenye foleni anapiga Ress na honi nyingi anaona anacheleweshwa.
Ulivyo mwehu umegeuza camera alivyoingia 🤣🤣 una utoto
Hata mimi sijaona mtu wakati anafungua mlango alifanya kuikwepesha camera iangalie pembeni itakuwa ni demu wake labda 🤣Nimeiangalia ila sijaona mtu😀
Umemtafuna! 😃😀😀
Kwa hiyo dogo ulitegemea nimuanike hapa live?
We jua tu hiyo inayofungua huo mlango ni premium pisi.😀
Mama mtumishi 🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️😆Hamisa tu ndo hajaandikwa 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Wee jamaa nimeshtukia sio mzee.Hahaha................hiyo safi sana, Mimi pia napenda kuendesha.
Siku nikiwa fit huwa nadrive hata kilomita 600 kwenda na kurudi
Huwa inafanya tusahau Kwa muda Uzee wetu 🤗
Hapana.Umemtafuna! 😃
Mmekesha mmeunganisha vikojoleo 😃😃 usitufiche mkuu!Hapana.
Tulikesha kuliombea taifa😬
Wala hata huyu dogo father-xmas nimemjua juzi tu hapo siwezi kumjua huyo dem kabisa!Hili swali umeuliza mara 2 jirani😃
Au unamjua alokua nae nini😬?
Ni kichalii tu hicho kinawadanganya mabinti humu ili kiwatafune mzee wa hovyo huyoWee jamaa nimeshtukia sio mzee.
😃😃Wewe umri bado, mara ya mwisho yule mzee nilikutana nae kavuta Toyota Hilux ya 2021 kila muda anataka asafiri na miwani yake akiwa kwenye foleni anapiga Ress na honi nyingi anaona anacheleweshwa.
Ukute babu yako huyo unamuita dogo mtu yuko hapa toka 2010🏃😁Wala hata huyu dogo father-xmas nimemjua juzi tu hapo siwezi kumjua huyo dem kabisa!
Hivi hapa kunaweza kuwa na watu wa huo umri kweli?Ni kichalii tu hicho kinawadanganya mabinti humu ili kiwatafune mzee wa hovyo huyo
Mzee wa ukweli ni Asprin na Shimba ya Buyenze hao wana 75+