Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Wewe umri bado, mara ya mwisho yule mzee nilikutana nae kavuta Toyota Hilux ya 2021 kila muda anataka asafiri na miwani yake akiwa kwenye foleni anapiga Ress na honi nyingi anaona anacheleweshwa.
Hahaha................hiyo safi sana, Mimi pia napenda kuendesha.

Siku nikiwa fit huwa nadrive hata kilomita 600 kwenda na kurudi

Huwa inafanya tusahau Kwa muda Uzee wetu 🤗
 
Hamisa tu ndo hajaandikwa 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
😁😀 yupo.
Niliweka picha nikaifuta bahati mbaya
E96F7678-F2A2-4AA1-9036-3C638B659ED0.jpeg
 
Wewe umri bado, mara ya mwisho yule mzee nilikutana nae kavuta Toyota Hilux ya 2021 kila muda anataka asafiri na miwani yake akiwa kwenye foleni anapiga Ress na honi nyingi anaona anacheleweshwa.
😃😃
Nimecheka na
hizo resi kwenye foleni.

Watu wa hivyo wanaker😬
 
Back
Top Bottom