Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha................hiyo safi sana, Mimi pia napenda kuendesha.Wewe umri bado, mara ya mwisho yule mzee nilikutana nae kavuta Toyota Hilux ya 2021 kila muda anataka asafiri na miwani yake akiwa kwenye foleni anapiga Ress na honi nyingi anaona anacheleweshwa.
Siku nikiwa fit huwa nadrive hata kilomita 600 kwenda na kurudi
Huwa inafanya tusahau Kwa muda Uzee wetu 🤗