Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Tuanze na jina lako kwanza la City Owl 🀣🀣🀣 heri yangu mie Jodoki
 
πŸ‘
Mrisho Jakaya Kikwete
πŸ‘
 
Wabongo hatuoni hatari sana majina ya kigeni sabb hatujaonja chungu ya ubaguzi kutoka kwa wazungu
Haya majina mengi tunabeba kwa ajili ya dini utafikili. Dini ni majina, maana hata leo ukiskia mtu fulani kabadili dini utasikia kwa wengi jina lake ya kikristo/kiislamu nani
 
Haya majina mengi tunabeba kwa ajili ya dini utafikili. Dini ni majina, maana hata leo ukiskia mtu fulani kabadili dini utasikia kwa wengi jina lake ya kikristo/kiislamu nani
Na kanisa lina operate kulingana na utamaduni wa sehemu husika
Kwa nchi ambayo wananchi wake wanajali tamaduni zao hawana hata haja ya kubadili majina ili kuwa wakristo
 
Swali zuri, embu tupe solutions?
Solution ni kubadili muelekea.
Kuwapa watoto wetu majina yanayoakisi utamaduni wao.
Kwa sie watu wazima, unaweza kufuata nyayo za Ngugi wa Thiong'o na kubadili majina yako.

Fanya tafiti ili ujue itaanzia wapi na kumalizia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…