Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Kwanini sasa hujalitumia JF? Kwanini utumie ID yenye lugha ya mzungu na sio kiswahili au kizigua? Ungejiita madakopee basi. 😀😀😀Bwana mdogo unanijua? Hilo ni jina langu la asili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini sasa hujalitumia JF? Kwanini utumie ID yenye lugha ya mzungu na sio kiswahili au kizigua? Ungejiita madakopee basi. 😀😀😀Bwana mdogo unanijua? Hilo ni jina langu la asili
Kwanini wazungu na sio wachina, waarabu na wengineo?😀😀😀Wabongo hatuoni hatari sana majina ya kigeni sabb hatujaonja chungu ya ubaguzi kutoka kwa wazungu
😂Nilikuwa naangalia Olympics hii majuzi.
Tunatia kinyaa.
Waafrika ndiyo tumebeba majina ya hao wenzetu.
Wao wana yao.
Ferdinand wa Uswisi huko anashangaa Ferdinand Cheusi amepataje jina la ukoo wake!
Tuanze na jina lako kwanza la City Owl 🤣🤣🤣 heri yangu mie JodokiNdugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Unajua kwanini nimeuliza hovup? Siku hizi kila baya linaelekezwa kanisani na ndio maana wanajitoa ufahamu kana kwamba hakuna wazigua wenye majina ya kiarabu ili kukwepesha upande wa pili.Maarabu hayo 😂😂
Umejuaje asili yangu ni ya kizungu?Kwanini sasa hujalitumia JF? Kwanini utumie ID yenye lugha ya mzungu na sio kiswahili au kizigua? Ungejiita madakopee basi. 😀😀😀
Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
👍Ndugu wanaJF,

ungejiita Bundi wa jiji hilo pia si fekiHapa JF tunatumia majina Feki. So sio ishu kutumia City Owl. Ndiyo ufeki wenyewe huo.
Haya majina mengi tunabeba kwa ajili ya dini utafikili. Dini ni majina, maana hata leo ukiskia mtu fulani kabadili dini utasikia kwa wengi jina lake ya kikristo/kiislamu naniWabongo hatuoni hatari sana majina ya kigeni sabb hatujaonja chungu ya ubaguzi kutoka kwa wazungu
Mizengo Pinda 👍👍
Mrisho Jakaya Kikwete
👍
Ukimuuliza hilo anakwepa kujibu mkuu. Kuna mwingine anajiita min -me nikamuuliza kwanini asijengiita mkangafu akakwepa.
Majina yangu niya asili hata hili nikifupi cha jina langu wap linaonyesha nila kizungu?Ukimuuliza hilo anakwepa kujibu mkuu. Kuna mwingine anajiita min -me nikamuuliza kwanini asijengiita mkangafu akakwepa.
Palamagamba................. utamalizia mwenyewe 👍Mizengo Pinda 👍
Mwigulu ........... utamalizia mwenyewe 👍Palamagamba................. utamalizia mwenyewe 👍
Na kanisa lina operate kulingana na utamaduni wa sehemu husikaHaya majina mengi tunabeba kwa ajili ya dini utafikili. Dini ni majina, maana hata leo ukiskia mtu fulani kabadili dini utasikia kwa wengi jina lake ya kikristo/kiislamu nani
Solution ni kubadili muelekea.Swali zuri, embu tupe solutions?