Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

1. John Kijazi
2. John Magufuli
3. John Heche
4. John Mnyika
5.John Kaijage
6. John Kitwanga
7.............
Aliyepata hasara ni John Babptist tu.

Kama una akina john wengine wataje
Hakuna John Kitwanga!! Hoja yako ni mufilis wala haistahili kuwa thread
 
Back
Top Bottom