Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Yohana:
Pilato alisema, “Mchukueni ninyi mkamsulubishe; mimi sioni kosa lake.”
Wayahudi wakasema, “Kwa sheria yetu anapaswa kufa kwa sababu amedai kuwa Mwana wa Mungu.”

Hoja: Hakukuwa na sheria hiyo ya kusema mtu auawe kwa sababu hiyo, na kwa mujibu wa sheria ya wakati huo, kosa la kukufuru lilihitaji kupigwa mawe, si kusulubiwa.

isome taratibu hii na ikibidi mara 2 mbili ili uelewe.

Adhabu ya wayahudi ilikuwa ni kumpiga mtu mawe hadi afariki.
(mzinzi au mtu akikufuru).
Na walishajaribu mara kadhaa kutaka kumpiga Yesu mawe.

Adhabu ya Waroma (ambao kw wakati huo ndio walikuwa watawala wa eneo hilo- Dola ya Kirumi) ilikua kutundika mtu msalabani.

Ni wao pekee (warumi) ndio walikuwa wanaidhini ya kuamuru mtu atundikwe.
Wayahudi walikuwa hawana hiyi idhini/mamlaka.

Viongozi wa Kiyahudi walitaka Yesu asulubishwe (atundikwe msalabani/mtini) ili kuthibitishia umma kuwa Yesu hakuwa masihi na amelaaniwa na Mungu.

Viongozi wa Kiyahudi walihofia kwamba kama wangempiga mawe wao wenyewe hadharani, wananchi wangeweza kuasi au kuwapiga mawe na wao.kwa kumkabidhi Yesu kwa Warumi, walihakikisha kuwa lawama zote za kifo chake zinaenda kwa askari wa Kirumi, na hivyo kulinda nafasi zao za uongozi.

Kiufupi Mtu aliyemhukumu Yesu rasmi adhabu ya kifo alikuwa Pontio Pilato.
Na hukumu za Dola ya Kirumi ni Kusulubiwa msalabani na sio Kupigwa mawe.
 
Kesi sita za Yesu?​

  1. “Kesi” ya usiku mbele ya Baraza la Sanhedrin — Marko
  2. “Kesi” ya asubuhi mbele ya Sanhedrin — Marko, Mathayo, Luka
  3. “Kesi” mbele ya Pilato — Marko, Mathayo, Luka, Yohana
  4. “Kesi” ya usiku mbele ya Anasi — Yohana
  5. “Kesi” mbele ya Herode Antipa — Luka
  6. “Kesi” ya pili mbele ya Pilato, baada ya Yesu kurudishwa na Herode — Luka

Yote haya yalitokea kuanzia usiku hadi saa sita mchana siku iliyofuata!

Kisa hicho kiliunganishwa pia na tukio la Petro kumkana Yesu mara tatu, pamoja na tukio la Baraba kuachiwa wakati wa Pasaka.

Kwa kifupi: kuna maswali mengi kuhusu mpangilio wa kesi hizi katika Injili.
 
Mila ya Warumi?​

“Wakati wa sikukuu, alikuwa na desturi ya kuwaachia mfungwa mmoja waliyemtaka.” — Marko 15:6

Mila ya Wayahudi?​

“Lakini ninyi mna desturi kwamba niwaachilie mtu mmoja wakati wa Pasaka.” — Yohana 18:39
Swali: Je, ilikuwa mila ya Warumi au ya Wayahudi?
 
isome taratibu hii na ikibidi mara 2 mbili ili uelewe.

Adhabu ya wayahudi ilikuwa ni kumpiga mtu mawe hadi afariki.
(mzinzi au mtu akikufuru).
Na walishajaribu mara kadhaa kutaka kumpiga Yesu mawe.

Adhabu ya Waroma (ambao kw wakati huo ndio walikuwa watawala wa eneo hilo- Dola ya Kirumi) ilikua kutundika mtu msalabani.

Ni wao pekee (warumi) ndio walikuwa wanaidhini ya kuamuru mtu atundikwe.
Wayahudi walikuwa hawana hiyi idhini/mamlaka.

Viongozi wa Kiyahudi walitaka Yesu asulubishwe (atundikwe msalabani/mtini) ili kuthibitishia umma kuwa Yesu hakuwa masihi na amelaaniwa na Mungu.

Viongozi wa Kiyahudi walihofia kwamba kama wangempiga mawe wao wenyewe hadharani, wananchi wangeweza kuasi au kuwapiga mawe na wao.kwa kumkabidhi Yesu kwa Warumi, walihakikisha kuwa lawama zote za kifo chake zinaenda kwa askari wa Kirumi, na hivyo kulinda nafasi zao za uongozi.

Kiufupi Mtu aliyemhukumu Yesu rasmi adhabu ya kifo alikuwa Pontio Pilato.
Na hukumu za Dola ya Kirumi ni Kusulubiwa msalabani na sio Kupigwa mawe.

Baraba au Yesu?​

Kwa nini uchaguzi ulikuwa kati ya wafungwa wawili tu?

Kama Pilato au Wayahudi walikuwa na desturi ya kumwachilia mfungwa mmoja wakati wa sikukuu, kwa nini walichagua watu wawili tu?

Labda hata wale wezi wawili waliosulubiwa pamoja na Yesu wangeweza kuwa kwenye uchaguzi. Pia kulikuwa na wafungwa wengine wengi katika magereza ya Warumi wakati huo.

Je, si jambo hili linaonekana kama lilipangwa kwa namna maalum?
 
Kesi sita za Yesu?​

  1. “Kesi” ya usiku mbele ya Baraza la Sanhedrin — Marko
  2. “Kesi” ya asubuhi mbele ya Sanhedrin — Marko, Mathayo, Luka
  3. “Kesi” mbele ya Pilato — Marko, Mathayo, Luka, Yohana
  4. “Kesi” ya usiku mbele ya Anasi — Yohana
  5. “Kesi” mbele ya Herode Antipa — Luka
  6. “Kesi” ya pili mbele ya Pilato, baada ya Yesu kurudishwa na Herode — Luka

Yote haya yalitokea kuanzia usiku hadi saa sita mchana siku iliyofuata!

Kisa hicho kiliunganishwa pia na tukio la Petro kumkana Yesu mara tatu, pamoja na tukio la Baraba kuachiwa wakati wa Pasaka.

Kwa kifupi: kuna maswali mengi kuhusu mpangilio wa kesi hizi katika Injili.

Hii Hoja yako ya Kesi 6.
ndio unasema haujapata majibu?.

Okay iko hivi.
Kwanza kuna Viongozi wa Wayahudi.
Na pili kuna watawala/utawala wa Roma/Warumi.

Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanadeal na mambo ya mila na desturi za kiyahudi. Na kuhukumu mtu kwa sheria ya Torati. (Kupigwa mawe)

Viongozi wa Kirumi walikuwa wanahukumu mtu asulubiwe (lengo ni kutisha watu wengine ) na kesi wanazoshughulika nazo zilikuwa za Kisiasa. (Kuasi utawala, fujo za kisiasa nk).

Viongozi wa Wayahudi walitaka Yesu asulubiwe kudhibitisha kuwa Sio masihi. Adhabu ya Kumpiga mawe waliona haitoshi.
Ndio maana wakaamua kumpeleka mbele ya utawala wa Roma ambao wao ndio wenye idhini.

Huko Kuzunguka kote ni kutafuta idhini.
Herode ni mtawala wa Galilaya (kiongozi wa Kirumi).
Pontio Pilato nae ni kiongozi wa Kirumi.

Hawa wote walivyomsikiliza Yesu hawakuona na hatia au kutishia utawala wa kirumi.
Ndio maana herode hakumhukumu akaamuru ampelekee Pilato na pilato nar hakuona kosa.
Kwa sababu shtaka sio la Kisiasa.

Ila kwasababu watu wakamshinikiza amuhukumu. Akasema basi na asulubiwe.

Kiufupi hizo sehem zote alizopita Yesu ni namna ya kutafuta idhini ya Yeye kusulubiwa . Maana viongozi wa Kiyahudi ndio walikuwa wanataka.

Na sio kesi 6 mwanetu.
na hii soma kwa kutulia utaelewa.
Najua kicha chako kilivyo.
 
Mila ya Warumi?​

Mila ya Wayahudi?​

Swali: Je, ilikuwa mila ya Warumi au ya Wayahudi?

Nimekuelezea hapo juu.

Warumi ni watawala wanashughulikia Siasa.
viongozi wa Wayahudi kazi yao ilikuwa kusimamia mila na desturi za kiyahudi.

lakini kama watawala wanaweza kufanya kitu kuridhisha Umma.

Ni kama dini muwe na utaratibu wa kusamehe wakosaji kila siku ya Christmass. Na Raisi Samia akaamua kusamehe wafungwa siku hiyo.

Je utasema ni Tamaduni au Mila ya Serikali?.
Au utasema kaamua kusamehe ili kuonyesha yuko sambamba na jamii anayoiongoza.

Bila shaka umeniewa mwanetu.
Na hoja ya Kesi 6 umeielewa pia.
 
Yaani mnakubali kabisa mnasali msikitini pamoja na Ndugu zenu wa Kijini?

Mishkat al-Masabih 350
Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying,
“Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinns"
Halafu msiwe Washirikina
 
Nimekuelezea hapo juu.

Warumi ni watawala wanashughulikia Siasa.
viongozi wa Wayahudi kazi yao ilikuwa kusimamia mila na desturi za kiyahudi.

lakini kama watawala wanaweza kufanya kitu kuridhisha Umma.

Ni kama dini muwe na utaratibu wa kusamehe wakosaji kila siku ya Christmass. Na Raisi Samia akaamua kusamehe wafungwa siku hiyo.
Je utasema ni Tamaduni au Mila ya Serikali?.
Au utasema kaamua kusamehe ili kuonyesha yuko sambamba na jamii anayoiongoza.

Marko

  • Pilato alishangaa na akaona kuwa walikuwa wamemshtaki Yesu kwa wivu.
  • Aliuliza: “Amefanya kosa gani?”
  • Kwenye msalaba iliandikwa: “Mfalme wa Wayahudi.”
  • Pilato akaruhusu mwili wa Yesu upelekwe kwa Yosefu.

Mathayo

  • Pilato alijua kuwa Yesu alishtakiwa kwa wivu.
  • Mke wake aliota kuhusu Yesu kama mtu mwenye haki.
  • Pilato akauliza: “Amefanya kosa gani?”
  • Akaosha mikono yake akisema hana hatia ya damu ya Yesu.
  • Askari wa Kirumi akasema: “Kweli huyu alikuwa Mwana wa Mungu.”

Luka

  • Pilato alisema Yesu hana kosa.
  • Alijaribu mara tatu kumwachilia Yesu.
  • Askari wa Kirumi alisema Yesu alikuwa hana hatia.
  • Herode na Pilato wakawa marafiki.

Yohana

  • Pilato alisema mara tatu: “Sioni kosa lolote kwake.”
  • Alijaribu kumwachilia, lakini Wayahudi wakapinga.
  • Kwenye msalaba iliandikwa: “Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi” kwa Kilatini, Kiebrania na Kigiriki.
  • Askari wa Kirumi alishuhudia kuwa damu na maji vilitoka kwenye jeraha.

Hoja : maelezo haya yanaonyesha Warumi kama mashahidi wa Yesu kuwa hana hatia, na simulizi hilo limeandaliwa kama tamthilia, si historia.
 
Yaani mnakubali kabisa mnasali msikitini pamoja na Ndugu zenu wa Kijini?

Mishkat al-Masabih 350
Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying,
“Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinns"
Halafu msiwe Washirikina

kama hoja ni kwamba kuhusishwa na majini ni ushirikina, Biblia yenyewe inataja wazi majini/pepo na viumbe wa rohoni (Waefeso 6:12).

Lakini tofauti ni hii: Waislamu hawawaabudu majini wala kuwaomba msaada wa ibada; tunamwabudu Allah pekee. Biblia yenyewe inasema: “Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.” (Mathayo 4:10).

Kwa hiyo kuwepo kwa viumbe wa rohoni si sawa na kuwaabudu.
 
  • Kwenye msalaba iliandikwa: “Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi” kwa Kilatini, Kiebrania na Kigiriki.
  • Askari wa Kirumi alishuhudia kuwa damu na maji vilitoka kwenye jeraha.

Hoja : maelezo haya yanaonyesha Warumi kama mashahidi wa Yesu kuwa hana hatia, na simulizi hilo limeandaliwa kama tamthilia, si historia

Sijaelewa Hoja yako.

Ila Chini ya sheria za utawala wa Kirumi, ilikuwa ni lazima kwa mhalifu anayeuawa msalabani kuwekewa bango linalotaja kosa lake la kisheria. Kosa rasmi la Yesu lililotumika kumhukumia kifo lilikuwa ni uhalifu dhidi ya kaisari kwa kudaiwa kujitengeneza kuwa mfalme wa Wayahudi.

Na ndio maana Bango likaandikwa hivyo.
 
Nimekuelewa. Lakini hoja yangu haikuwa kwamba kuwekwa kwa bango msalabani hakukuwa sehemu ya utaratibu wa Warumi. Hoja yangu ilikuwa kuhusu namna Injili zinavyomchora Pilato na mamlaka ya Kirumi katika kisa hiki.

Ni kweli kwamba Yohana 19:19–22 inasema Pilato aliandika: “Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi,” na akaagiza ibaki hivyo. Hilo linaweza kueleweka kama sababu rasmi ya kisiasa iliyohusishwa na hukumu yake—madai ya kuwa “Mfalme wa Wayahudi.”

Lakini hilo haliondoi :

  • Katika Marko 15:10, Pilato anatambua kwamba wakuu wa makuhani walimleta Yesu kwa sababu ya wivu.
  • Katika Mathayo 27:18, Pilato anatambua pia kwamba Yesu alishtakiwa kwa wivu; kisha simulizi linaongeza tukio la mke wake kumwona Yesu kuwa mtu mwenye haki na Pilato kuosha mikono.
  • Katika Luka 23:4, 14–15, Pilato anasema mara kadhaa kwamba hajapata kosa linalostahili kifo.
  • Katika Yohana 18:38 na 19:4, 6, Pilato anarudia kwamba haoni kosa kwake, huku bado akimkabidhi kwa ajili ya kusulubiwa.
Kwa hiyo kuna tofauti kati ya mambo mawili:

  1. Sababu ya kisheria/kisiasa iliyowekwa kwenye hukumu: “Mfalme wa Wayahudi.”
  2. Jinsi waandishi wa Injili wanavyomwonyesha Pilato akitathmini hatia ya Yesu: mara kadhaa anaonyeshwa akisema haoni kosa linalostahili kifo.
Kwa hiyo, kusema “bango lilikuwa likitaja kosa la Yesu” hakupingani moja kwa moja na hoja yangu. Swali nililokuwa naliuliza ni kwa nini simulizi hizi zinamwonyesha Pilato—mamlaka ya Kirumi—akisisitiza kutokuwa na kosa la Yesu, huku hukumu ya mwisho ikiendelea.

Na pia ningerekebisha kauli yangu ya awali: kusema moja kwa moja kwamba “simulizi limeandaliwa kama tamthilia, si historia” ni hitimisho kubwa kuliko ushahidi huo pekee unavyoruhusu. Kinachoweza kujadiliwa kwa ushahidi ni tofauti za simulizi, namna kila Injili inavyomchora Pilato, na kama tofauti hizo zinaonyesha mitazamo ya kitheolojia, kihistoria, au yote mawili.
 
Swali nililokuwa naliuliza ni kwa nini simulizi hizi zinamwonyesha Pilato—mamlaka ya Kirumi—akisisitiza kutokuwa na kosa la Yesu, huku hukumu ya mwisho ikiendelea.

Kama umeelewa, Pilato huwa anahukumu kesi za kisiasa. Na upande wa Kisiasa hakuona wala kumkuta Yesu akiwa na jinai ya Kisiasa.
Ndio maana kote kwa Herode na Pilato hawakumkuta na hatia.

Ila Viongozi wa Kiyahudi wakalazimisha.
na nia yao ni asulubiwe.

Pamoja hakuwa na kosa kisiasa. Na pamoja Pilato alijua ni wivu unatumika.
Ila wayahudi walimsihi Pilato amhukumu.
Na Kumbuka hakukuwa na mtu mwingine anayeweza kuhukumu mtu asulubiwe isipokuwa watawala hawa wa Kirumi. Kwahiyo ile presha na ili kuzuia ghasia na kulimaliza hilo.

Aliamua wamsulubishe tu. Hata kama anajua chanzo ni Wivu.

Luka 23 : 23 na 24
"Lakini wakazidi kukaza sauti zao, wakiomba asulubishwe. Sauti zao na za wakuu wa makuhani zikashinda.
24 pilato akaamua kwamba yafanyike kama walivyotaka.
25 Akamfungua yule aliyetupwa gerezani kwa sababu ya uasi na uuaji, ambaye walimtaka; akamkabithi Yesu kwao wafanye nae wanavyopenda".
 
Mnasema Majini waliumbwa kabla ya Binadamu:.
1. Je kabla ya Binadamu Majini walikuwa Dini Gani?
2. Kwanini wasiwe na Mtume wao wa kijini ?
3. Binadamu asingeumbwa je hawange mwabudu Jini Mkuu Allah ?
4. Majini walianza kuumbwa na hawakumwabudu Allah Hadi azaliwe Muhamadi ?
5. Muhamadi alologwa na Yahudi Labadi, mnaweza kunitajia Mtume mmoja wa Mungu aliyelogwa kipindi Cha utume wake ?
6. Kwahiyo Muhamadi ni Mtume wa watu na Majini,
Kabla ya Muhamadi Majini yalikuwa na Mtume yupi,? hapa mnijibu kwa ushahidi wa Aya

Bro wakikujibu naomba nitag.

Waongeze na hili.
Kwenye nguzo 5 za Uislam.
Majini wanafuata zote?.
Wakienda Kuhiji. Na wao wanapitia kumpiga mawe mwenzao?.
 
Nani alikukwambi mtume alionana nao ana Kwa ana?
Alionana nao vipi maana nimesoma sura yao aliyoniwekea mdau pale juu nikajua alionana nao. Unaweza kunipa aya mtume hakuonana nao bali aliwasilimisha wakiwa labda wapi
 
Nani alikwambia mtume alionana nao ana Kwa ana?.
Wapo masheikh ambao wanawafundisha majini na wapo majini ambao wanawafundisha watu dini.hao ni viumbe kama Mimi na wewe
Kwa hiyo mtume hakuonana nao.
Walisilimishwa na nani au alisilimisha vitu ambavyo hakuonana navyo?
Weka maelezo vizuri ukiweka na aya itapendeza
 
iblis asili yake ni jini.

Jini ni kiumbe kama tulivyo Binadamu. Tofauti yetu ni kuwa Majini wai wameumbwa kwa Moto na Binadamu ameumbwa kwa udongo.

Quran 18:50

" Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."
Kwa nini majini ya msujudie Binadamu na Sio Mwenyezi Mungu. Mbona kosa hafifu sana hili. Wewe unasujudiwa na majini?
 
Mkuu, mbona unachanganya mambo? Hakuna mtu aliyesema mwanadamu hana Malaika. Tuna Malaika wa kulia na kushoto wanaoandika mema na madhambi yetu, hiyo ipo wazi kabisa kwenye Quran, katika Surah Qaf (50:17-18) ambapo Allah anasema:

Lakini uwepo wa Malaika hauzuii uwepo wa yule jini muovu (Qarin) aliyewekwa kama mtihani wa mwanadamu. Kuhusu huyu jini mwanadamu anayeambatana naye, Allah anathibitisha katika surah hiyohiyo ya Qaf (50:27) kuhusu jinsi atakavyomkana mwanadamu Siku ya Kiyama, anasema:

Pia katika Surah Az-Zukhruf (43:36), Allah anasema wazi:
Kwa hiyo unajuaje jini aliyesilimishwa sasa hivi kaasi dini au hajaasi maana humuoni?

Nini kinakufanya uamini jini huyu maimuna jana alisilimu na leo amekengeuka

Mbona kama hii ilim inaweka uislam kwenye risk ya kuzungukwa na majini shetwain badala ya majini safi. Maana hauna ushahidi wa uongofubwao na consistency ya badiliko lao
 
Back
Top Bottom