Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Yohana:
Pilato alisema, “Mchukueni ninyi mkamsulubishe; mimi sioni kosa lake.”
Wayahudi wakasema, “Kwa sheria yetu anapaswa kufa kwa sababu amedai kuwa Mwana wa Mungu.”
Hoja: Hakukuwa na sheria hiyo ya kusema mtu auawe kwa sababu hiyo, na kwa mujibu wa sheria ya wakati huo, kosa la kukufuru lilihitaji kupigwa mawe, si kusulubiwa.
isome taratibu hii na ikibidi mara 2 mbili ili uelewe.
Adhabu ya wayahudi ilikuwa ni kumpiga mtu mawe hadi afariki.
(mzinzi au mtu akikufuru).
Na walishajaribu mara kadhaa kutaka kumpiga Yesu mawe.
Adhabu ya Waroma (ambao kw wakati huo ndio walikuwa watawala wa eneo hilo- Dola ya Kirumi) ilikua kutundika mtu msalabani.
Ni wao pekee (warumi) ndio walikuwa wanaidhini ya kuamuru mtu atundikwe.
Wayahudi walikuwa hawana hiyi idhini/mamlaka.
Viongozi wa Kiyahudi walitaka Yesu asulubishwe (atundikwe msalabani/mtini) ili kuthibitishia umma kuwa Yesu hakuwa masihi na amelaaniwa na Mungu.
Viongozi wa Kiyahudi walihofia kwamba kama wangempiga mawe wao wenyewe hadharani, wananchi wangeweza kuasi au kuwapiga mawe na wao.kwa kumkabidhi Yesu kwa Warumi, walihakikisha kuwa lawama zote za kifo chake zinaenda kwa askari wa Kirumi, na hivyo kulinda nafasi zao za uongozi.
Kiufupi Mtu aliyemhukumu Yesu rasmi adhabu ya kifo alikuwa Pontio Pilato.
Na hukumu za Dola ya Kirumi ni Kusulubiwa msalabani na sio Kupigwa mawe.

“Wakati wa sikukuu, alikuwa na desturi ya kuwaachia mfungwa mmoja waliyemtaka.” — Marko 15:6
Swali: Je, ilikuwa mila ya Warumi au ya Wayahudi?“Lakini ninyi mna desturi kwamba niwaachilie mtu mmoja wakati wa Pasaka.” — Yohana 18:39
isome taratibu hii na ikibidi mara 2 mbili ili uelewe.
Adhabu ya wayahudi ilikuwa ni kumpiga mtu mawe hadi afariki.
(mzinzi au mtu akikufuru).
Na walishajaribu mara kadhaa kutaka kumpiga Yesu mawe.
Adhabu ya Waroma (ambao kw wakati huo ndio walikuwa watawala wa eneo hilo- Dola ya Kirumi) ilikua kutundika mtu msalabani.
Ni wao pekee (warumi) ndio walikuwa wanaidhini ya kuamuru mtu atundikwe.
Wayahudi walikuwa hawana hiyi idhini/mamlaka.
Viongozi wa Kiyahudi walitaka Yesu asulubishwe (atundikwe msalabani/mtini) ili kuthibitishia umma kuwa Yesu hakuwa masihi na amelaaniwa na Mungu.
Viongozi wa Kiyahudi walihofia kwamba kama wangempiga mawe wao wenyewe hadharani, wananchi wangeweza kuasi au kuwapiga mawe na wao.kwa kumkabidhi Yesu kwa Warumi, walihakikisha kuwa lawama zote za kifo chake zinaenda kwa askari wa Kirumi, na hivyo kulinda nafasi zao za uongozi.
Kiufupi Mtu aliyemhukumu Yesu rasmi adhabu ya kifo alikuwa Pontio Pilato.
Na hukumu za Dola ya Kirumi ni Kusulubiwa msalabani na sio Kupigwa mawe.
Kesi sita za Yesu?
- “Kesi” ya usiku mbele ya Baraza la Sanhedrin — Marko
- “Kesi” ya asubuhi mbele ya Sanhedrin — Marko, Mathayo, Luka
- “Kesi” mbele ya Pilato — Marko, Mathayo, Luka, Yohana
- “Kesi” ya usiku mbele ya Anasi — Yohana
- “Kesi” mbele ya Herode Antipa — Luka
- “Kesi” ya pili mbele ya Pilato, baada ya Yesu kurudishwa na Herode — Luka
Yote haya yalitokea kuanzia usiku hadi saa sita mchana siku iliyofuata!
Kisa hicho kiliunganishwa pia na tukio la Petro kumkana Yesu mara tatu, pamoja na tukio la Baraba kuachiwa wakati wa Pasaka.
Kwa kifupi: kuna maswali mengi kuhusu mpangilio wa kesi hizi katika Injili.
Mila ya Warumi?
Mila ya Wayahudi?
Swali: Je, ilikuwa mila ya Warumi au ya Wayahudi?
Nimekuelezea hapo juu.
Warumi ni watawala wanashughulikia Siasa.
viongozi wa Wayahudi kazi yao ilikuwa kusimamia mila na desturi za kiyahudi.
lakini kama watawala wanaweza kufanya kitu kuridhisha Umma.
Ni kama dini muwe na utaratibu wa kusamehe wakosaji kila siku ya Christmass. Na Raisi Samia akaamua kusamehe wafungwa siku hiyo.
Je utasema ni Tamaduni au Mila ya Serikali?.
Au utasema kaamua kusamehe ili kuonyesha yuko sambamba na jamii anayoiongoza.
Yaani mnakubali kabisa mnasali msikitini pamoja na Ndugu zenu wa Kijini?
Mishkat al-Masabih 350
Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying,
“Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinns"
Halafu msiwe Washirikina
- Kwenye msalaba iliandikwa: “Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi” kwa Kilatini, Kiebrania na Kigiriki.
- Askari wa Kirumi alishuhudia kuwa damu na maji vilitoka kwenye jeraha.
Hoja : maelezo haya yanaonyesha Warumi kama mashahidi wa Yesu kuwa hana hatia, na simulizi hilo limeandaliwa kama tamthilia, si historia
😂😂😂nimekuwekea hapo chini tafsiri ya Quran kwa lugha fasaha ya kiswahili...download ujisomee uujue ukweli
Ngoja niisome ila ukitafuta vitabu vya ukweli kurani haipo kwenye hilo kundi.
una hoja?😂😂😂😂😂.
Sawa Jini mwenye Mkono mmoja.
Sijaelewa Hoja yako.
Ila Chini ya sheria za utawala wa Kirumi, ilikuwa ni lazima kwa mhalifu anayeuawa msalabani kuwekewa bango linalotaja kosa lake la kisheria. Kosa rasmi la Yesu lililotumika kumhukumia kifo lilikuwa ni uhalifu dhidi ya kaisari kwa kudaiwa kujitengeneza kuwa mfalme wa Wayahudi.
Na ndio maana Bango likaandikwa hivyo.
Swali nililokuwa naliuliza ni kwa nini simulizi hizi zinamwonyesha Pilato—mamlaka ya Kirumi—akisisitiza kutokuwa na kosa la Yesu, huku hukumu ya mwisho ikiendelea.
Mnasema Majini waliumbwa kabla ya Binadamu:.
1. Je kabla ya Binadamu Majini walikuwa Dini Gani?
2. Kwanini wasiwe na Mtume wao wa kijini ?
3. Binadamu asingeumbwa je hawange mwabudu Jini Mkuu Allah ?
4. Majini walianza kuumbwa na hawakumwabudu Allah Hadi azaliwe Muhamadi ?
5. Muhamadi alologwa na Yahudi Labadi, mnaweza kunitajia Mtume mmoja wa Mungu aliyelogwa kipindi Cha utume wake ?
6. Kwahiyo Muhamadi ni Mtume wa watu na Majini,
Kabla ya Muhamadi Majini yalikuwa na Mtume yupi,? hapa mnijibu kwa ushahidi wa Aya
Alionana nao vipi maana nimesoma sura yao aliyoniwekea mdau pale juu nikajua alionana nao. Unaweza kunipa aya mtume hakuonana nao bali aliwasilimisha wakiwa labda wapiNani alikukwambi mtume alionana nao ana Kwa ana?
Kwa hiyo mtume hakuonana nao.Nani alikwambia mtume alionana nao ana Kwa ana?.
Wapo masheikh ambao wanawafundisha majini na wapo majini ambao wanawafundisha watu dini.hao ni viumbe kama Mimi na wewe
Kwa nini majini ya msujudie Binadamu na Sio Mwenyezi Mungu. Mbona kosa hafifu sana hili. Wewe unasujudiwa na majini?iblis asili yake ni jini.
Jini ni kiumbe kama tulivyo Binadamu. Tofauti yetu ni kuwa Majini wai wameumbwa kwa Moto na Binadamu ameumbwa kwa udongo.
Quran 18:50
" Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."
Kwa hiyo unajuaje jini aliyesilimishwa sasa hivi kaasi dini au hajaasi maana humuoni?Mkuu, mbona unachanganya mambo? Hakuna mtu aliyesema mwanadamu hana Malaika. Tuna Malaika wa kulia na kushoto wanaoandika mema na madhambi yetu, hiyo ipo wazi kabisa kwenye Quran, katika Surah Qaf (50:17-18) ambapo Allah anasema:
Lakini uwepo wa Malaika hauzuii uwepo wa yule jini muovu (Qarin) aliyewekwa kama mtihani wa mwanadamu. Kuhusu huyu jini mwanadamu anayeambatana naye, Allah anathibitisha katika surah hiyohiyo ya Qaf (50:27) kuhusu jinsi atakavyomkana mwanadamu Siku ya Kiyama, anasema:
Pia katika Surah Az-Zukhruf (43:36), Allah anasema wazi: