Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Mkurugenzi wa TRC
 
7. Waziri wa afya
8. Mganga mkuu wa serikali
9. Katibu mkuu wizara ya afya
10. Katibu mkuu wizara ya fedha
11. Dc wa Wilaya ya siha kule kilimanjaro
12. Das wa moshi DC
13. Ded wilaya ya siha
14. RC Njombe
15. Mkurugenzi wa ewura .anayeshughulikia gas na Petroleum
16. Kaimu katibu mkuu time ya madini
17. Waziri wa nishati
18. Waziri wa madini
19. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi
20. Rc Geita
21. Endelea .....
 
Tatizo lako unabisha kwa ushabiki, huku hutaki kuangalia kuwa unapokuwa mtawa unapofanyq uteuzi lazima ubalance makabila ili kuleta umoja. Haijalishi kuwa kabila lako wanazo sifa za kuwa viongozi lazima ubalance. Kwa hiyo haiingii akilini kusema eti kwa kuwa wasukuma wanasifa basi wapewe teuzi tu.
 
Haikuwa poa kabisa.
 
Kwani Rais akiwa kabila fulani maana yake watu wa kabila lile wanapoteza haki na fursa ya kuwa Viongozi hata kama wana sifa na Vigezo?

Si sahihi kupinga ukabila kwa njia za kikabila
Mkuu pohamba najua wewe ni mhenga mwenzangu.
Watu wanacho ongelea ni usawa kwenye uteuzi wa hawa viongozi wetu.

Siyo siri kabisa kuwa ukianza kupanga listi tangu namba moja hadi ya mwisho kwa kikabila utagundua wenzetu wa mwanza ni wengi sana.

Nafikiri ulikuwa unaona viongozi wa awamu ya kwanza walivyo kuwa .
Sina ubaya wowote na maamuzi ya mwenye mamlaka ya kuwachagua ila kama binadamu lazima kutoa wasiwasi wangu.
 
Kuna mapungufu yalitokea awamu ya tano, hakukuwa na uwiano mzuri wa kikabila.
 
Wewe
Wewe ni mku.ndu kuwaka kweli, hivi unawafahamu hawa makabila yao;
1.Waziri wa afya-Dorothy Gwajima
2.Waziri wa Madini- Dotto Biteko
3.Mkurugenzi wa NEC-Wilson Mahera
Kama hujui uliza
 
Bashite alikuwa na sifa gani ndugu yangu ,kaka yangu Pohamba!
 
Ni kweli kulikuwa na hisia za upendeleo lakin tusitumie kigezo hicho kuanza kuwaandama, tutakuwa tunaharibu Tanzania yetu adheem
Walianza wao kutubeza sisi wananchi wa kawaida na tulivumilia ingawa kwa machungu sana .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…