Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
mama anna mkapa mumewe aliposhika urais aliwanyanyua wachagga wakawa matajiri kwa pesa za serikali tena mama huyu hakuwa rais bali mke wa rais je mchaga akiwa rais wa nchi itakuwaje. crdb boss alikuwa mchaga makufuli akamuondoa wafanyakazi 90% wachaga tra walikuwa wachaga. vipi hawa wachaga wakishika nchi itakuwaje
 
Iyo kanda ya ziwa ni code tu inayotumika,lakini maana ya neno kanda ya ziwa kwa muktadha huu inaeleweka inamaanishana nini.
Ahaa kumbe shida ni Wasukuma,ila wakijaa wa kanda ya ziwa akunashida ila wasiwe wasukuma?
 
Kwa kuwa mama Mkapa alikuwa na upendeleo wa kikabila ndio wasukuma au wanakanda ya ziwa wajipendelee?
 
Haya mambo Nyerere alikemea sana.Kitendo cha wewe kukaa na kupekenyua asili ya wateuliwa wote wa Raise na kugundua baadhi ni wa kabila fulani wewe ni mkabila namba moja.

Kipimo cha wateule wa Rais ni ufanisi wao katikae kazi.Alimteua PM Mmwera ambae watu hawakimtarajia kabisa,mbona hamjasema kitu?.


Mzee angekuwa na Nepotism angeshindwa kuwatengenezea watoto wake njia za kuwa maarufu na wakubwa?,Lakin mzee hakutaka hayo watoto wake wamefahamika machoni mwa watu baada ya yeye kufariki.

Hakuna teuzi ambazo mtaridhika nazo kwa yeyote atakaekuja.Juzi mmeanza oooh mama anateua wanzanzibar,je serikali zilizopita Wazanzibar hawakuteuliwa?.
 

Msuguri darasa la tatu?
Akaaacha kina Kiwehlu waliosoma UK??
 
Nepotism vs favouritism tofautisha ndio uje ubishane na wanaume
 
We huoni?
Kumbe wa kanda ya ziwa bado wanapendelewa!
Cha kujiuliza ni kwanini wapendelewe wakati Rais wa sasa sio wa kanda ya ziwa?
Kuna nini kanda ya ziwa hadi wanapendelewa,hata kampeni za kanda ya ziwa vyama vyote uwa ni za tofauti na za kanda zingine.
Hata vyama vya siasa avikauki kuacha kuweka watu wa kanda ya ziwa tena nafasi za juu,kwanini watu wa kanda ya ziwa wanapendelewa kiasi hiki?
 
Kwa hiyo Ccm kuwa na wafuasi wengi kanda ya ziwa ndio mnaipendelea?
 
Mkuu wa Serikali ya mtaa wangu ni msukuma,RPC wangu ni msukuma,CDF wangu ni msukuma,mkubwa wa Mgambo wangu ni msukuma ikiwezekana hata Bashite arudishwe tuendelee kufokeana Tanzanian bila wasukuma ni boring sana.
 
Mkuu wa Serikali ya mtaa wangu ni msukuma,RPC wangu ni msukuma,CDF wangu ni msukuma,mkubwa wa Mgambo wangu ni msukuma ikiwezekana hata Bashite arudishwe tuendelee kufokeana Tanzanian bila wasukuma ni boring sana.
Umeshindwa nini kufokeana na mkeo?
 
Kwani Rais akiwa kabila fulani maana yake watu wa kabila lile wanapoteza haki na fursa ya kuwa Viongozi hata kama wana sifa na Vigezo?

Si sahihi kupinga ukabila kwa njia za kikabila
Busara ni kwamba jamii mojawapo tuseme Wamakonde,wakisha toa Raisi wa jamhuri ya muungano,kwao inatosha sana,hata kama kuna jamii itapewa waziri mkuu,wakurugenzi wa Bandari na TRA,na mashirika ya umma,hawawezi kuifikia jamii iliyotoa Raisi,kwa nafasi katika utumishi wa umma,ndio maana tunasema,kama Raisi ni msukuma,hakuna haja Tena kuweka CDF msukuma,IGP msukuma,Katibu hazina msukuma,DPP msukuma,na mawaziri kibao wasukuma,Mpina,Kingwangala,Kalemani,hapo kuna kuwa hakuna uwakilishi Sawa wa makabila yote katika utumishi wa umma,jamii ikitoa Raisi inatosha,Ikitoa Makamu wa Raisi,inatosha,Ikitoa PM inatosha,nafasi zingine ziende kwa jamii zingine
 
Huu sasa ni uchochezi..amkeni Watanzania..Kama ndugu yangu unania ya kuwachonganisha Watanzania umechelewa..sisi hatutazamani kwa ukanda, udini au ukabila..hizo siasa Zako za maji taka baki nazo mwenyewe..
Mungu akusaidie uachane na roho ya ubaguzi uliyo nayo
 
Hawezi kukuelewa huyu mduwanzi, hajuwi maana ya kubalance
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…