Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

Mwi
Mama anampenda sana Balile, haachi kumtajataja kwenye events za wanahabari. Huyu yahaya mohamed ndio nani, yuko media gani? Balile akila shavu serikalini na gazeti lake litafikia ukomo wa kuaminiwa kama gazeti la uchunguzi. Wapo kina mwijaku, kitenge, sasali, kija yunus na vijana wengine wengi wanaweza kujaza nafasi ya msigwa
Mwijakuuu🤣
 
Dotto Bulendu ...ila watamchafua tu .... Ananyoosha sana maelezo tatizo atalazimishwa kusema uongo..kimbembe kipo hapo...
 
Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika namna positive ili 'kutuliza upepo'.

Hapa chini nimefikiria majina ya baadhi ya wananchi wanaoweza kufit katika wadhifa huu muhimu. Nimezingatia sifa zao za uzungumzaji na ushawishi. Wote wako vizuri kwenye kuzungumza na hadhira. Kama ifuatavyo:-
1. Deodatus Balile
2. Salim Kikeke
3. Neville Meena
4. Eshe Muhidin
5. Ayoub Rioba
6. Yahaya Mohamed
7. Badra Masoud
8. Dotto Bulendu
9. Hamisi Dambaya
10. Sakina Datoo

Hawa ni baadhi tu ya watu ambao nawaona wanaweza kuface situation na challenges zinazoambatana na wajibu huu mkubwa...

Mengine yanayoweza kufikiriwa ni:-
1. Dkt. Dotto Paul
2. Innocent Mungy
3. Fred Herbet
4. Nurdin Selemani
5. Jafar Haniu
6. Shaban Kisu
Dr Haji Manara (PhD)
 
Dr Haji Manara (PhD)
Tatizo viunganishi. Anaweza kuitisha Press conference wakati wa maswali na majibu akahororojoka kiunganishi kimoja hicho! people mkaziba midomo mkipigwa na bumbuwazi Zito lisilomithirika
 
Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika namna positive ili 'kutuliza upepo'.

Hapa chini nimefikiria majina ya baadhi ya wananchi wanaoweza kufit katika wadhifa huu muhimu. Nimezingatia sifa zao za uzungumzaji na ushawishi. Wote wako vizuri kwenye kuzungumza na hadhira. Kama ifuatavyo:-
1. Deodatus Balile
2. Salim Kikeke
3. Neville Meena
4. Eshe Muhidin
5. Ayoub Rioba
6. Yahaya Mohamed
7. Badra Masoud
8. Dotto Bulendu
9. Hamisi Dambaya
10. Sakina Datoo

Hawa ni baadhi tu ya watu ambao nawaona wanaweza kuface situation na challenges zinazoambatana na wajibu huu mkubwa...

Mengine yanayoweza kufikiriwa ni:-
1. Dkt. Dotto Paul
2. Innocent Mungy
3. Fred Herbet
4. Nurdin Selemani
5. Jafar Haniu
6. Shaban Kisu

Baruhani muhuza.
 
Apewe hata Dida Au Juma lokole sioni faida ya kuwa na msemaji ambae rais wake anasema Katiba ni makaratasi tu.
 
Back
Top Bottom