Labda sikuhizi ila zamani walikuwa wanakuwekea na anuani yako,na ilikuwa siyo lazima uende pale maktaba kuu kuchukua barua,baada ya siku 14 walikuwa wanakutumiaKama ni Psrs hawaweki anuani.
ili upewe bahasha yako yenye barua utaulizwa anuani yako kwanza.