Majina yangu matatu kamili yametoka katika walioitwa kazini na sikuomba, hii imekaaje?

Kama ni Psrs hawaweki anuani.

ili upewe bahasha yako yenye barua utaulizwa anuani yako kwanza.
Labda sikuhizi ila zamani walikuwa wanakuwekea na anuani yako,na ilikuwa siyo lazima uende pale maktaba kuu kuchukua barua,baada ya siku 14 walikuwa wanakutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…