Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

Wewe unapenda majibizano. Hiyo sio tabia ya wanaume kamili.
Naona mwisho umejishtukia kua huna ujualo,haya kaa pembeni ila siku nyingine uache tabia ya kudandia gari usilojua linapokwenda.
 
Do you know the meaning of source?
Hivi ufipa Si kuna siku mlienda kuokota picha za shule huko kenya ambayo maji yalijaa darasani alafu wanafunzi wamekaa kwenye mawe huku darasa likiwa na maji?
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu mkawa mnaisambaza mitandaoni mkidai ni Tz,
Source yenye link iletwe hapa.
hapa kwenye hii thread ndiyo source na ndiyo zimepostiwa kwa mara ya kwanza hapa.
 
Naona mwisho umejishtukia kua huna ujualo,haya kaa pembeni ila siku nyingine uache tabia ya kudandia gari usilojua linapokwenda.
Nyie na mabinti zenu hamna tofauti. Wanaume wanapenda kuropokwa kushinda wanawake. Tabia za kishenzi hizi. Wacha nikuwache uendelee kuropokwa
 
Unaona hapo nimekuletea video ya flying toilets [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe lete source hata link pia,
Jamii forum sio source.

hakuna video ipo picha.

uzalendo ni kukubali madhaifu yako na kuyafanyia kazi na sio kuharisha ugoro wa kijani kama huu unao hara hapa.
 
Nyie na mabinti zenu hamna tofauti. Wanaume wanapenda kuropokwa kushinda wanawake. Tabia za kishenzi hizi. Wacha nikuwache uendelee kuropokwa
Mbona umepata kigugumizi cha ghafla? unaandika kama unakimbizwa?
 
Na hapa wapi Mkuu? Kwa Jirani?

Kwetu vituo tunajenga wenyewe. Hata hicho mmejenga wenyewe. Hakuna mahali duniani serikali imejenga nyumba ya tope na miti.
Hiyo ni ninyi wenyewe.
 
Buda, mnakumbuka mlipokuwa mnaisambaza mitandaoni ile picha ya shule ya huko kenya iliyokuwa imejaa maji huku wanafunzi wamekaa kwenye mawe alafu mkaja kuumbuliwa[emoji50][emoji50][emoji50]
Sasa lete source ya picha ilipotoka either link, au video kama huna shut up [emoji23][emoji23][emoji23]
Buda sina chama lakini sipendagi ujinga.
hakuna video ipo picha.

uzalendo ni kukubali madhaifu yako na kuyafanyia kazi na sio kuharisha ugoro wa kijani kama huu unao hara hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…