Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Nakuhakikishia hakuna mahakama itakayotoa hukumu kama hiyo kwa kilichofanyika
Mzee soma vizuri Uzi uelewe Mimi ni mtu wa aina gani katika hiyo kesi Mimi sihusiki na jamaa sio rafiki yangu kiufupi ni watu ambao hatuna mazoea ila baada ya kesi ndio Kila mtu anaongea yake kuhusu jamaa mtaani
 
Sasa weee jamaa unataka kuniambia mahakama hazimo kama wewe??! Kwa mujibu wa sheria za nchi na usalama wa wananchi, sheria imetoa idhini katika mazingira yoyote tatanishi na yanayotia shaka kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama! Sasa hapa kuna double standard! Vyombo vya usalama vinatakiwa kuwa na weredi wasitaje wanaowapa taarifa (informers). Kitendo cha kuwataja ni kinyume cha sheria hiyo na mahakama wanajua hivyo! Kwahiyo nqamimi na ninaungama na wadau kuwa uzi wako ni "CHAI"
Na kwa mahakama gani Tz ya kutoa hukumu fasta hivyo.
Juzi tu katuletea uzi wake wa jamaa kushtaki, baada ya siku 2 hukumu ishatoka.
 
Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Lete hukumu ya Mahakama tuisome alafu ndiyo tutajua kama imetenda haki au imebolonga!!
 
hv hao majiran wana raslimal gan mana watu wanahukumu kutokana na uwezo wako leo hamoniz wamuhukumu kulipa bilion 5 si kumuua huku wakati crdb kakopa m200 anunue prado mwaka sasa hajui analipaje!! hamoooo khoo khooo yaoo yaoo!? aah sorry kumbe tunaongelea majiran
 
Back
Top Bottom