Naona mguu umefungwa tu kitambaa cheusi may be a Fix?. Sioni damu kwenye combat au afande hatokagi damu?, halafu mwamba kala pozi kivulini na kwa mbaaali naona nyumba za wanakijiji(Sio mji).Angalia mguu wake wa kulia unaodaiwa kupigwa risasi, atawezaje kukimbia?
Mkuu, Burundi haijawahi kukiri kuwa kuna mwanajeshi wake amekamatwa. Jambo ambalo mpaka sasa limewavunja moyo wanajeshi hao, kwa sababu kila wanapopigana, kuanzia Kivu Kasikazini, wanajeshi waliotekwa na kujisalimisha, wote Burundi inasema haiwajui. Anaeacha kupigana, hukumu kwao ni kifungo cha maisha.Sijaamini kuwa ni major. Ndo msingi wa hoja na maswali yangu.
Kama M23 wanaitumia hiyo kama fursa kuichafua Burundi; Burundi watajitetea wenyewe labda kwa kukanusha dai la Taarifa hiyo kwamba ni Fake news au kumkataa sio mtu wao au watakavyoona inafaa.
Nidhamu mnayoiona kwa TPDF usiifananishe na Burundi na DRC. Kuna vyeo vya kupewa tu basi, na vingine kweli umnastahili. Inategemea na jeshi lenyewe.Unakuta walinzi wako ni kama huyu!!!🤣🤣
View attachment 3268205
Kichekesho kweli 😃Major anavaa gunboots 😀😀😀
Probably, ndiyo maana waliwateka wajeda wa Kibongo na wa Kisauz then wakaamua kuwaachia warudi makwao.Ina mana M23 wanayo mindombinu (infrastructure) kwa ajili ya kuwahifadhi mateka wa kivita au
Sikuwa na dukuduku lolote zaidi kuhusu cheo chake bali aliyenijibu komenti yangu (soma #50) alinihoji "kwann unaamin kuwa ni major"Mkuu, Burundi haijawahi kukiri kuwa kuna mwanajeshi wake amekamatwa. Jambo ambalo mpaka sasa limewavunja moyo wanajeshi hao, kwa sababu kila wanapopigana, kuanzia Kivu Kasikazini, wanajeshi waliotekwa na kujisalimisha, wote Burundi inasema haiwajui. Anaeacha kupigana, hukumu kwao ni kifungo cha maisha.
View: https://x.com/dr_dash250/status/1899797303088525487
Bado hujaamini cheo chake?
Hiyo ni picha yake ya kitambo imetumika siyo kwamba imepigwa akiwa chini ya ulinzi.Inawezekana; lakini jamaa (huyo afande)anaonekana mtanashati, uso unang'aa na wakamataji wake(Wapiganaji) hawaonekani japo jirani kumlinda asitoroke. Yan ni kama mtu yupo kwenye Interview au mahojiano fulani hivi. Hana wasiwasi kabisa.
Rain Boots.... GumbootsMajor anavaa gunboots 😀😀😀
M23 naomba muingie tanzania tupate matokeo ya darby kuhusu jeshi letu kila siku likiambiwa ndio jeshi namba moja duniani.
Wengine matomaso maana wanavyo pasua matofari siku za maadhimisho ya jeshi na kubeba mizigo mikubwa utazani wapo store ya kubebea magunia
Vitani hawavai vyeo mkuuView attachment 3267817
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba.
Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Nadhani hawajui Mazingira ya huko ndio maaana wanashangaa hizo gumbootsKwamba unaamini jeshi linakosa boots ya kijeshi?!
Mkuu kwa jiografia ya kivu, rutshuru hadi bukavu kwa kipindi cha mvua hiyo ni kawaida kabisa.
Nadhani ukiangalia hata hao m23 na askari kwa kongo wengi wanavaa, fatlia
Wanafikiri ni tambarare na pakavu kama shinyanga🤣🤣Nadhani hawajui Mazingira ya huko ndio maaana wanashangaa hizo gumboots
Kuna watu wanajua kuitwa mkimbizi ni raha sijui!! Na vita si kwamba Tanzania haichokozwi, lakini huwa ni last option. Kwa sababu wapiganaji pande zote hupoteza.Acha usenge watu tuna watoto wadogo
Ndiyo walimu wetu hao 🤡🤡watakuambia kwanini meja mzima kavaa koti la mvua au kwa nini meja mzima anaugua Malaria 😁😁Kuna kosa gani?!
Uvaaji wa gunboots ni kwasababu za kimazingira eneo alilopo nilatope unataka avae boots za kawaida?!
Hahahaha humu wajuaji wengiWanafikiri ni tambarare na pakavu kama shinyanga🤣🤣
Wanaamini kwamba private au koplo wanatembea pekupeku.. 🤣🤣Ndiyo walimu wetu hao 🤡🤡watakuambia kwanini meja mzima kavaa koti la mvua au kwa nini meja mzima anaugua Malaria 😁😁
Kazaliwa miaka ya 90,akajiunga RPF kisha akarudi 'kwao' congo,rpf wamepigana 1994 na kuchukua nchi,alijiunga akiwa na umri gani?Kwa ufupi tu ni raia wa Congo.
Alizaliwa huko Rutshuru, Kivu Kasikazini.
Miaka ya 1990, alijiunga na jeshi la chama cha RPF cha Rwanda, kipindi hicho wapo maporini kwa maandalizi ya kuikomboa Rwanda.
Badae aliamua kurudi kwao, na ndo kaamua aanzishe M23.(hiyo ni historia fupi)
Chanzo cha haya yote ni baada yaserikali ya zamani ya Rwanda kuzidiwa nguvu,ikiwa na msaada wa wafaransa, ambao walikuwa pete na kidole na Zaire, ambayo ndo DRC ya leo. Huko walikofika, waliendeleza mauaji ya watutsi kambini.
Lakini pia,kwa sababu Zaire ilikuwa na watutsi, na wauaji,ambao ndi FDLR ya leo, mazoezi ya kijeshi(walikuwa nakiingiza wanajeshi wapya) yalikuwa yakifanyika nje ya kambi. Hivyo, sehemu ya kupata huduma, ikawa ni uraiani.
Huko, kulikuwa na watutsi. Ndipo vitendo vya kuwaua na kubaka wanawake vikaanza.
Kuona hivyo, akaona hakuna haja ya kukaa kimya.
Hakuna mtanzania anayepigana m23Uzuri mmeshajua watakuja, basi jiandaeni.
Kwa hiyo,unataka kutuaminisha kuwa hakuna watanzania wanaopigana upande wa M23? Nijibu hili kwanza.
Kama jibu unalo basi, kipindi RPF ni waasi, walipokea kila raia.
Na M23, ina huo uhuru wa kupokea kila raia.
Gumboot ni kwaajili ya kupita mazingira ya sehemu zenye vikwazo vya maji na tope zito elewa tu hapo na anaweza kuvaa yoyote tu kutokana na mazingira aliopoMajor anavaa gumboots 😀😀😀