Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

Angalia mguu wake wa kulia unaodaiwa kupigwa risasi, atawezaje kukimbia?
Naona mguu umefungwa tu kitambaa cheusi may be a Fix?. Sioni damu kwenye combat au afande hatokagi damu?, halafu mwamba kala pozi kivulini na kwa mbaaali naona nyumba za wanakijiji(Sio mji).
 
Sijaamini kuwa ni major. Ndo msingi wa hoja na maswali yangu.
Kama M23 wanaitumia hiyo kama fursa kuichafua Burundi; Burundi watajitetea wenyewe labda kwa kukanusha dai la Taarifa hiyo kwamba ni Fake news au kumkataa sio mtu wao au watakavyoona inafaa.
Mkuu, Burundi haijawahi kukiri kuwa kuna mwanajeshi wake amekamatwa. Jambo ambalo mpaka sasa limewavunja moyo wanajeshi hao, kwa sababu kila wanapopigana, kuanzia Kivu Kasikazini, wanajeshi waliotekwa na kujisalimisha, wote Burundi inasema haiwajui. Anaeacha kupigana, hukumu kwao ni kifungo cha maisha.
 
Buja kwenye mwambao wa Tanganyika na Mji muruwaa sana nilikaa huko enzi za Bagaza.
 
Ina mana M23 wanayo mindombinu (infrastructure) kwa ajili ya kuwahifadhi mateka wa kivita au
Probably, ndiyo maana waliwateka wajeda wa Kibongo na wa Kisauz then wakaamua kuwaachia warudi makwao.
 
Mkuu, Burundi haijawahi kukiri kuwa kuna mwanajeshi wake amekamatwa. Jambo ambalo mpaka sasa limewavunja moyo wanajeshi hao, kwa sababu kila wanapopigana, kuanzia Kivu Kasikazini, wanajeshi waliotekwa na kujisalimisha, wote Burundi inasema haiwajui. Anaeacha kupigana, hukumu kwao ni kifungo cha maisha.


View: https://x.com/dr_dash250/status/1899797303088525487

Bado hujaamini cheo chake?

Sikuwa na dukuduku lolote zaidi kuhusu cheo chake bali aliyenijibu komenti yangu (soma #50) alinihoji "kwann unaamin kuwa ni major"
Nadhani alikuwa hajafuatilia vizuri mzungumzo. Nimeridhika huyo ni major.
 
Inawezekana; lakini jamaa (huyo afande)anaonekana mtanashati, uso unang'aa na wakamataji wake(Wapiganaji) hawaonekani japo jirani kumlinda asitoroke. Yan ni kama mtu yupo kwenye Interview au mahojiano fulani hivi. Hana wasiwasi kabisa.
Hiyo ni picha yake ya kitambo imetumika siyo kwamba imepigwa akiwa chini ya ulinzi.
 
Acha usenge watu tuna watoto wadogo
M23 naomba muingie tanzania tupate matokeo ya darby kuhusu jeshi letu kila siku likiambiwa ndio jeshi namba moja duniani.
Wengine matomaso maana wanavyo pasua matofari siku za maadhimisho ya jeshi na kubeba mizigo mikubwa utazani wapo store ya kubebea magunia
 
View attachment 3267817
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba.

Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Vitani hawavai vyeo mkuu
 
Kwamba unaamini jeshi linakosa boots ya kijeshi?!
Mkuu kwa jiografia ya kivu, rutshuru hadi bukavu kwa kipindi cha mvua hiyo ni kawaida kabisa.
Nadhani ukiangalia hata hao m23 na askari kwa kongo wengi wanavaa, fatlia
Nadhani hawajui Mazingira ya huko ndio maaana wanashangaa hizo gumboots
 
Kuna kosa gani?!
Uvaaji wa gunboots ni kwasababu za kimazingira eneo alilopo nilatope unataka avae boots za kawaida?!
Ndiyo walimu wetu hao 🤡🤡watakuambia kwanini meja mzima kavaa koti la mvua au kwa nini meja mzima anaugua Malaria 😁😁
 
Ndiyo walimu wetu hao 🤡🤡watakuambia kwanini meja mzima kavaa koti la mvua au kwa nini meja mzima anaugua Malaria 😁😁
Wanaamini kwamba private au koplo wanatembea pekupeku.. 🤣🤣
Watoto wetu wanalishwa mashudu sana huko mashuleni.
 
Kwa ufupi tu ni raia wa Congo.
Alizaliwa huko Rutshuru, Kivu Kasikazini.
Miaka ya 1990, alijiunga na jeshi la chama cha RPF cha Rwanda, kipindi hicho wapo maporini kwa maandalizi ya kuikomboa Rwanda.
Badae aliamua kurudi kwao, na ndo kaamua aanzishe M23.(hiyo ni historia fupi)

Chanzo cha haya yote ni baada yaserikali ya zamani ya Rwanda kuzidiwa nguvu,ikiwa na msaada wa wafaransa, ambao walikuwa pete na kidole na Zaire, ambayo ndo DRC ya leo. Huko walikofika, waliendeleza mauaji ya watutsi kambini.
Lakini pia,kwa sababu Zaire ilikuwa na watutsi, na wauaji,ambao ndi FDLR ya leo, mazoezi ya kijeshi(walikuwa nakiingiza wanajeshi wapya) yalikuwa yakifanyika nje ya kambi. Hivyo, sehemu ya kupata huduma, ikawa ni uraiani.
Huko, kulikuwa na watutsi. Ndipo vitendo vya kuwaua na kubaka wanawake vikaanza.

Kuona hivyo, akaona hakuna haja ya kukaa kimya.
Kazaliwa miaka ya 90,akajiunga RPF kisha akarudi 'kwao' congo,rpf wamepigana 1994 na kuchukua nchi,alijiunga akiwa na umri gani?
 
Uzuri mmeshajua watakuja, basi jiandaeni.

Kwa hiyo,unataka kutuaminisha kuwa hakuna watanzania wanaopigana upande wa M23? Nijibu hili kwanza.
Kama jibu unalo basi, kipindi RPF ni waasi, walipokea kila raia.

Na M23, ina huo uhuru wa kupokea kila raia.
Hakuna mtanzania anayepigana m23
 
Back
Top Bottom