Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

simaanishi kuhusu rank yake yake ya kijeshi, baod ni Major General sawa, ila je kutoka kuwa Mkuu wa JKT Tanzania nzima na kwenda kuwa RC je kashuka ama kapanda?
Huyu kamanda huwa anaibuka kujadiliwa mitandaoni kiudaku namna hii ,,sijui ana bahati gani.
 
usichanganye mambo mkuu,ishu ya mbuge na rais ilikuwa ujenzi wa majengo ya serikali,hii sio kazi ya msingi ya jwtz,ni kazi ya ziada yena ya jkt.

sasa tukirudi kwenyw mafunzo,vifaa,ajira na hata kambi za jeshi,hakuna namna kwamba mbuge ataenda kwa rais amruke cdf.
 
Ndio maana nimesema wana uelewa mdogo.
 
Nenda zako mkorinto wewe
 
JKT nitawi la JWTZ lakini linakiongozi wake ambae nae anakuepo miongoni mwa wa kuu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi na pia yupo kwene kamati ya ulinzi wa nchi...sijakataa unachosema ila nachosema raisi anawasiliana na mkuu wa JKT kwa mambo ambayo yanasimamiwa na yy direct na ndo maan anamchagua huyo na CDF Hana uwezo wakutengua uteuzi wa mkuu wa jeshi la JKT...Hawa ni sawa na raisi wa muungano na yule wa Zanzibar wa Zanzibar anasimamia mambo yasiyo ya muungano na haingiliwi na raisi wa muungano wala raisi wa muungano Hana uwezo wa kumuwajibisha raisi wa Zanzibar.....ndivo ilivo kiutendaji kati ya CDF na Mkuu wa JKT
 
That is the best response from you!!
Siku hizi Huna hoja. Ulikuwa member ambaye na respect sana maoni yako. But umekuwa mtu wa ajabu sana since dictator achukue nchi na hata baada ya kwenda zake.
 
sasa tunashangaa nini kama mtu kaingia kwenye commissional ya rais kupangiwa juku lolote na rais!!!kisha tunaita ni demotion!!!!
 
Siku hizi Huna hoja. Ulikuwa member ambaye na respect sana maoni yako. But umekuwa mtu wa ajabu sana since dictator achukue nchi na hata baada ya kwenda zake.
Ujue umeishiwa!!
 
Miradi yote ya JKT iko chini ya CDF; na hata wakati magufuli anmpandisha cheo Mbuge pale dodoma, alisema aliongea na CDF kuhusu utendaji kazi wake. Halafu akamtuma CDF kuwa atoe mapendekezo yake kuhusu hao maafisa wengine wa JKT!
 
Huyu mtu alipata umaarufu na kupandishwa cheo ghafla sana na mwendazake. Mpaka ikaanza kutabiriwa kuwa anaandaliwa kumrithi Mabeyo, huenda nyota yake imeondoka na mwendazake..
 
Huyu mtu alipata umaarufu na kupandishwa cheo ghafla sana na mwendazake. Mpaka ikaanza kutabiriwa kuwa anaandaliwa kumrithi Mabeyo, huenda nyota yake imeondoka na mwendazake..
Kwan akiwa RC hawezi kuteuliwa kuwa CDF?
 
Kwan akiwa RC hawezi kuteuliwa kuwa CDF?
Anaweza. Ila Kwa kiasi kikubwa chance zinapungua.

Mara nyingi naona CDF ananyakuliwa direct miongoni mwa Wajeda walioko ndani ya mfumo Wa Kijeshi. Huyu tayari keshaingizwa kwenye mfumo Wa vyeo vya kisiasa..
 
Cheo cha Mkuu wa JKT ni nafasi ya kiuongozi wa kitafa na huwa moja tu wakati Mkuu wa Mkoa ni cheo cha watu zaidi ya mmoja katika taifa. Kwa mtazamo huu naweza kusema huyu mwamba ameporomoka cheo.
Ukisikia Mkuu wa JKT Tanzania nzima unadhani hao JKT ni kama mamilioni hivi? Kumbe hata 5000 hawafiki....hahaha ujinga kipaji. Mkuu wa mkoa kimajukumu is far a million than Mkuu wa JKT. Anzia hapo... Mwakilishi wa Rais Mkoa wenye watu zaidi milioni 3+ M/kiti wa Baraza la usalama la mkoa... Kuomba fedha kwa mkurugenzi ni formality sawa na wewe uwe boss wa taasisi then uombe fedha kwa watu wa finance.

Malizia hapa gari yake inapeperusha bendera ya nchi muda wote mpaka tu Rais anapokuwa mgeni wa mkoa husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…