MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Bora uwandikie wanao damu yako wakizingua ni wao.
 
Yah ni kweli. Sema hofu ya kugundulika ilimtoa kwenye reli akajikuta anaharibu zaidi.
 
Sikia hapo wewe kwenye halmashauri ya kichwa chake haumo tena trust me!
utakuja kusituka ana mke na mtoto. Kumbuka mwanaume kukuachia vitu vyote alivyo navyo kisha akaanza kwenda kuanza moja sio swala gumu kwetu.

Imani yake kwako umeipoteza mwenyewe.Hata ufanye nini bado atajua kuna nyumba zingine au miradi mingine ambayo wewe umeanzisha na haijui.Hata mama yako hana nafasi hata ya kushauri ndoa yako maana anawajua wote mmeshirikiana kuhujumu familia yake.

Hapo hata miujiza haitasadia sanasana ukizidi kumwambia akusamehe ataishi kiigizaji lkn moyoni haumo kabisa.
 
Pumbavu, utakula ulipopeleka mboga .
 
 
Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

ULE UTU WAKE WEMA UMEULIPA KWA UBINAFSI WAKO.
KUMRUDISHA MTU WA HIVI KUWA KAMA MWANZO, HATA HEKIMA ZA MFALME SULEIMAN I HAZISAIDII.

ONGERA KWA KUWA MAMA MWENYE NYUMBA
 
Lack of transparency justifies the changes in discussion.
 
Itoshe kusema wewe ni shetani na mbinafsi mbaya sana. Watoto wenu wasije rithi tabia zako.
 
Huyo mmeo ni fala,kijana wako mkanye asiige tabia za baba yake hasa hizo za kabla ya kufikia miaka 6 ya ndoa yenu.
 
Lengo la kujenga kimya kimya bila kumwambia mumeo ni nini?

Vuna ulichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…