Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

Bila waha list haijakamilika
 
Wasukuma ni watu wa kazi. Hata kama akija kwako hawezi kukaa kizembe.

Kama una shughuli za kufanya msukuma hawezi kukuangusha.

Ingawa magufuli alikuja kutengeneza kundi la wasukuma wapumbavu sana.

Ingawa wasukuma wengi Bado ni watu wema sana
Wasukuma watakupendacukiwa huna kitu ila ukianza kutoboa wana roho mbaya sana
Pia ni waktili sana wanaua sana wazee vijijini huko kuwasingizia uchawi,usiwachukulie poa
 
Yote hiyo ni sababu ya umaskini tu. Lakini kama mtu anajiweza anawezaje kwenda kwa mtu kukaa tu. Kama una connection wape waweze kujitegemea. Kuna leo na kesho mzee
 
Kilichokufanya uweke mnyakyusa hapo namba moja ni nn? Una lako jambo sio bure

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wasambaa nimeishi nao hili nakubali πŸ˜€ dingi yangu mkubwa alioa huko. Mzigo anao kiaina basi ndugu hawakauki hasa dada wa mkewe na nahisi wengine aliwagonga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana mzee wangu baharia yule!
Yaan hao kama ukimuoa dada yao alafu ana wadogo zake wa kike basi utabandua wote maana wote watakuja kujazana kwako hao makaka zao na wajomba zao wote watakuja
 
Umasikini, uchoyo na roho mbaya vinawasumbua.
 
Kilichokufanya uweke mnyakyusa hapo namba moja ni nn? Una lako jambo sio bure

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanyakyusa wanaupa undugu uzito mkubwa sana hata uwe ule ambao ni wa kizazi cha babu zake,,,, yani hata mjukuu wa mke wa baba mdogo wa babu si ajabu undugu ukawa unaendelea hapo, wanyakyusa wameendekeza sana undgugu, hii inapelekea hata kujazana kwenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…