Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu wanakuwa na baraka haooooo!Katika hili, Mungu atubariki Wasambaa kwa kweli.
Hao wapo mpakani mwa Sukuma OG na waoNa wanyantuzu pia nao inasemekana sio wasukuma.
kwakwel hii hali nimeikuta kwa wasambaa, mwaka 2016 niliwahi kwenda usambaani uko lushoto kijiji cha kileti jirani na lukozi, yaan wale watu ni wakalimu adi unaogopa, mgeni haujihis mpweke kabisa yan. misosi kwao sio tatizo ata kidogo wanamoyo wa kutoa, siku naondoka icho kiPASSO kilijaa viazi adi spring zikawa zinagongaMakabila ya watu wakarimu yote wanajali sana undugu, huwa hawajali sana vitu kama msosi, sijui maisha magumu wao ndugu akija nyumbani kwake anafurahi tuu wala haoni tabu.
Bwana bure wewe jiandae tu utapakuliwa pilau wakati unasubiria vingine.Ukonga Mombasa hii hii nnayoijua mimi au Mombasa ipi mkuu?
Wakina chimanyalaKabila gani hilo mkuu
Alijilipa sioKwa wasambaa nimeishi nao hili nakubali [emoji3] dingi yangu mkubwa alioa huko. Mzigo anao kiaina basi ndugu hawakauki hasa dada wa mkewe na nahisi wengine aliwagonga [emoji23][emoji23][emoji23] maana mzee wangu baharia yule!
Ukisema Watu wa kusini huja-specify but ume-overgeneralize na kiuhalisia mpaka naondoka Tanzania watu wa mtwara na masasi hawana hizo shobo sijawahi kuziona abadani labda watu wa Lindi 😂Ambao nina uhakika nao kujazana kwa ndugu:
-Wasambaa
-Wazaramo
-Watu wa kusini
Ukioa huko jiandae kisaikolojia 😂😂😂
Wasukuma sio kweli,sema wao wanaweza kuja hata watano kwa mkupuo yaani baba na Mama mkwe,shemeji zako kama watatu na watoto wao kama watatu,hawajui watalalaje hiyo haiwahusu na watakaa si zaidi ya siku 3/5 na ninachowafurahia Wasukuma watakuja kwako baada ya mavuno kule kwao means wanakuja kwako huku wamebeba vyakula vya kutosha,so utakuta wamekuja na 100kgs za mchele,debe 5 za udaga, nanasi,mihogo mibichi na manumbu plus maharage, nk. Huu ndo ugeni wa Kisukuma ambao haukupi kinyongo,halafu raha nyingine kati ya ugeni huo km kuna shem wa maana unaweza pita nae bila noma.Aisee mimi nina uzoefu na hii jamii kwani nimeoa huko hawajawahi kunichosha.Hata waje 10 nitawapokea Kwan mara zote msukuma akija kwako anakuja kwa upendo na ni watu wa kazi km una mashamba hawezi kukubali uamke asubuhi umuache ndani amelala wewe uende shamba,atawajibika nawe shambani mpk siku anaondoka unaona kabisa kuwa huyu ndo mgeni haswaUmewasahau wasukuma..
#MaendeleoHayanaChama
Hapo kwa wasukuma katuongopea jamii inayopenda kujazana kwa ndugu ni Ile jamii yenye njaa, msukuma Hana njaa na ndio maaana wasukuma wengi wapo masham huubani kwao uko hawajakimbia jamii zao nakuja jazana mjini kwa kazi za kuunga unga kama waha kutoka kigoma,au wakulya kutoka musomaMsukuma aache kuchunga ng'ombe aje kwako!!!
Msukuma hana huo ujingaWasukuma jmn kibokooo, wanakuja hata 6 alafu jinsia tofauti mpaka unawaza uwalaze wapi?
Kama madogo wa kike tafuna ni suna hiyo wewe kula mmoja uone dada tafukuza woteWarangi nimeoa kwao hapa kuna wadogo wa wife nawasomesha
Kweli kabisa. Kwa Wanyakyusa Umepatia.Wanyakyusa wanaupa undugu uzito mkubwa sana hata uwe ule ambao ni wa kizazi cha babu zake,,,, yani hata mjukuu wa mke wa baba mdogo wa babu si ajabu undugu ukawa unaendelea hapo, wanyakyusa wameendekeza sana undgugu, hii inapelekea hata kujazana kwenye nyumba