Bina msafi
Member
- Dec 2, 2022
- 20
- 63
Mizimu inayoabudiwa na wachaga ni uchawi tosha. Waganga wapo ndani ya familia na ukoo. Ukihitaji kufanya tambiko la kafara unamtafuta mzee wa mila. Hawa wazee wa mila ndio waganga wenyewe.. Me ni mchaga nakuambia uhalisiaAmekusikia.
Hakuna mganga wa Kichaga wala Kimeru
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila hasa katika koo za kichifu, lakini ni tofauti kabisa na uchawi wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.Mizimu inayoabudiwa na wachaga ni uchawi tosha. Waganga wapo ndani ya familia na ukoo. Ukihitaji kufanya tambiko la kafara unamtafuta mzee wa mila. Hawa wazee wa mila ndio waganga wenyewe.. Me ni mchaga nakuambia uhalisia
Ukienda kwenye misiba ya wajaluo, sio ya kujifanya una kiherehere cha kula. Tonge moja laweza ondoka na roho yako kimasiharaHao ni wajaluo..wanaoroga Kwa kuangalia hasa kama unakula.
Wote hao ngoma drooHivi kwa wajita na wakwaya wapi haya mambo ya ushirikina yamezidi ?
NakaziaHakuna ushirikina ukuryani. Kanda maalum ni mwendo wa tit for tat. Ukizingua mnamalizana hapo hapo. Hakuna muda wa kuanza kitafuta waganga!
Siku ukikutana na mganga akakuambia yeye ni mkurya, kimbia huyo ni tapeli.
Hawa wamekuwa na ongezeko kubwa la kubanduana wanaume kwa wanaumeWachaga - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wapare
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila hasa katika koo za kichifu lakini ni tofauti kabisa na uchawi wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.
Uchawi umekuwa ukisumbua jamii nyingi sana watu hulalamika kulogana ama kutupiana majini pale mtu anapopiga hatua, malimbwata ya mapenzi, kutupiana mabusha, kufunga vizazi, wanga wanaokaba usiku, kupigwa chale, n.k.
Pamoja na haya, kuna haya makabila machache nimeona mambo ya uchawi ni adimu ama yapo kwa kiwango kidogo sana, ni ngumu kukuta uchawi wa asili katika makabila haya, Mtu wa huku akitaka uchawi itambidi asasafiri kwenda makabila mengine.
1. Wamasai - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga warangi ama wambulu (wairaqw)
2. Wachaga - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wapare
2. Wakurya - Huko kwao ni ngumu kukuta uchawi wa asili yao, sehemu ya karibu kuupata uchawi ni kusafiri uende kuununua kwa waganga wajaluo ama wajita.
Wachaga ni washirika tu, uchawi wa asili hawana
Hivi huwa inakuaje, naskia tu unapigwa jicho.Ukienda kwenye misiba ya wajaluo, sio ya kujifanya una kiherehere cha kula. Tonge moja laweza ondoka na roho yako kimasihara
Ndio maana nimesema WACHAGA NI WASHIRIKINA TU.Hakuna uchawi mbaya kama uchawi wa mizimu. Na hawa wanajidai ni wafanya mila na matambiko ili kuhalalisha ibada za mizimu inayoishi kuzimu kama wachawi tuu
Wale wanaoendaga kuwatolea sadaka za mbuzi na Pombe ni kina nani? Kama sio ushirikina huo ni nini
Mkuu nikuhakikishie tu kwamba Wachagga WAROMBO ni wachawi aka vigagura. Hao pekee nimeshuhudia kwa macho yangu ya nyama. Japo kweli sijawahi kuona mganga wa kienyeji toka kabila hiyo na nnafikiri haya mambo ya kurithishana mikoba ya uganga chimbuko lake ni umasikini na kutojihusisha na shughuli za kiutaftaji.Muulize je ameshawahi kusikia mganga wa kienyeji mchaga?
Ushirikina wa kutafuta mali kwa waganga wa makabila mengine hatukatai tunaenda.
Lakini uchawi wa kurogana uchagani haupo.
Hayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asiliNdio maana nimesema WACHAGA NI WASHIRIKINA TU.
wanashikiri vitendo vya kuchawi kama vile uaguzi na matambiko.
Hawana ule uganga na uchawi wa asili
Kama unafananisha ushirikina na uchawi basiHayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asili
Waafrika wote ni wachawi wa asili kupitia miungu yao wanayojiunganisha nayo kupitia matambiko na mizimu
Kama unafananisha ushirikina na uchawi basi
Wakwaya kwa uchawi ni kidogo sana, wanatumizi ya nguvu kwenye kulipa kisasi kama wakurya.Hivi kwa wajita na wakwaya wapi haya mambo ya ushirikina yamezidi ?
Tofauti hapo ni ipi?hao wote wako kwenye kazi moja hakuna kuficha ukweli wa mambo uchawi umegawanyika na hilo la kuabudu mizimu ni kipengele kimojawapo cha uchawi. Kama mtu anaweza kumtoa mtu kwa kafara ya kulisha mizimu inywe damu ya binadamu huo sio uchawi jamani au me ndio sielewi nieleweshwe vizuriMUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila hasa katika koo za kichifu, lakini ni tofauti kabisa na uchawi wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.
Haswaaaa!!!Hayo matambiko ndio uchawi wenyewe wa asili
Waafrika wote ni wachawi wa asili kupitia miungu yao wanayojiunganisha nayo kupitia matambiko na mizimu