Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao


Una laana
 
Tambiko ,kafara ,kutumia wanyama kwa kumwaga dawa, kuroga ,zongo ,kuchanja chale, kutumia wanyama kama paka ,fisi.

Sijui mambo ya limbwata, kupiga ramli, kufanya watoto misekule na mazezeta yote ni uchawi kwa namna moja au nyingine ni kumshrikisha mwenyezi Mungu.

Mganga na mchawi wote ni sawa.

Tukija kweny mila za kiafrika hakuna neno uchawi wala ushirikina ila ukitafsiri kweny dini hayo mambo yote ni uchawi na ushirikina .
 
Mhh Wachaga?!?!? Labda zamani, sio leo
Cjui kama umemuelewa. Yaan huwez kupata uchaggan uchawi yaan mganga mchagga ila mpaka mchagga atoke akanunue uchawi nje ya uchaggan. Ukikuta mchagga mchawi ujue kaja nao. Hilo ni kweli.
 
Hivi ni kwanini mnapotoshana humu kuhusu mifumo ya kale ya Kiserikali Afrika?
Mfano "Uchifu", kwanza hapakuwepo na watu wanaitwa Chifu, Machifu au What have you!

Na hizo chale wala haukuwa uchawi, wala ninii bali ni makovu ya kitabibu! Matibabu ya kawaida kamavile accupuncture na nyingine Tatoo tu kama kuonyesha cheo cha watu au mtu au Status kwa kidhungu
Muwe mnafanya utafiti basi mjiridhie, mnakuwa wavivu mpaka mnaboa na Uwongo wa Kulishwa.

CHADEMA ni Kabila, wanasalimia na Pipoooz
CCM ni Kabila wanasalimiana na Kidumu!

Uchawi wa wote hawa unajulikana! Kha

Ngoja ninywe Uji kwanza.
 
Hujatembea au umemeza stori za vijiweni, niko na WA Masai huku, wanatuhumiana saaana uchawi
 
Yeap ukija kiafrika nje ya dini hamna uchawi kabisa ...
 

Dini za wazungu zinewaharibu,leo hii mnadharau na kutukana mila za mababu zenu,poor africans
 
Yeap ukija kiafrika nje ya dini hamna uchawi kabisa ...
Inasikitisha kama sio kuudhi. Wameng'ang'ania tu, Koo za kichifu, koo za kichifu ndio nini kwa king-eleza? ati Chale nazo ni Uchawi, mbula! Makovu ya kitabibu wanasema Uchawi! Tatoo za kikabila wanasema Uchawi.
Mijitu mizima na ndevu masikioni wanadanganyana na kujishusha utu!
 
hatukatai uwepo wake ila kiwango chake ni kidogo kuliko ilivyozoeleka kwa jamii zingine.

Mfano huko Mara kuna kabila wana uchawi wa kuangalia chakula unarogwa, jamii kama hizi ndio ambazo haziwezi kuwemo kwenye hii listi


Unaongelea kupitia story uliyosimuliwa na mtu, utakuwa haujakaa hizo sehemu
 
Unaongelea kupitia story uliyosimuliwa na mtu, utakuwa haujakaa hizo sehemu
Hana lelote analolijua huyu. Anaunga unga tu na malimbukeni wenzake wanaitikia tu, mfano haya aliyoyaongelea
"pale mtu anapopiga hatua,"
kwa tafsiri nyingine anaongelea wivu wa mtu au watu....hiyo ni mwafrika peke yake ndii mwenye wivu au
"malimbwata ya mapenzi"
....mbona wazungu wanapakana machocolati na vimbwanga vingine? wanaita Romance nini sijui au hili la
"kutupiana mabusha" nimesahau tafsiri ya mabusha, lakini ni ugonjwa unaowapata Wazungu, wahindi, Waarabu na wao wanatupiana hayo mabusha? au hili la "kufunga uzazi" hayo mambo yapo mpaka kwenye Bible! Msome kitabu cha Samueli wa Kwanza, je, kule alipokuwa akienda kuchinja kondoo ulikuwa ni Uchawi? Kwenye Kuruani wamezungumIa haya, kwenye surat mule, walitaja Uchawi? au hili wanaloliita wanga la kukaba usiku -Nightmares!
Wazungu wanadai hIli linatokana na REM Rapid Eye Movement! huo ni uchawi? na Kupigwa Chale! Mmeko
hata Otzi alikutwa amepigwa chale na kwavile mwanzoni walidai alikuwa mzungu basi yale machale na tatoo aliyokuwanayo wakaita makovu ya kitabibu, accupuncture na tatoo, baadae wakakuta alijuwa mtu mweusi, si ajabu naye wakambadilishia gia angani wakasema ndio alikuwa mtu wa kwanza kupeleka uchawi Ulaya!

Yaani utaona wanaunda story tu alimradi wanaushusha utu wa Mwafrika, kana hana akili au not intelligent, sasa niambie kama ni kweli mtu asiye hana akili anapata wapi akili ya kukurushia busha? au kukupa limbwata la mapenzi!

Wazungu bana
 
Unaweza kuwa sawa,ila kwenye bandiko lako ungeweka na mwaka,Wachaga wa kuanzia mwaka flani tungekuelewa...
 
Unaweza kuwa sawa,ila kwenye bandiko lako ungeweka na mwaka,Wachaga wa kuanzia mwaka flani tungekuelewa...
Unampatia faraja na matamanio yasio na mshiko.
Bandiko linapotosha tu.
 
Wachaga sio wachawi ni washirikina yaani wanafanta shirki kimsingi manuizi na matambiko juu ya Mali na utajiri
Hii ni sawa na wakinga ambao pia ni making wa wa ushirikina na kafara za Mali

Wachawi ni watu wanaotumia ushirikina kuharibu watu wengine kutokana na wivu, chuki, husda nk
Wachawi huua na kuharibu vitu vya watu wengine bila gain yoyote
Washirikina akiua mtoto ni katika kuongeza utajiri ila wachawi hutoa mtoto kama chakula kwa wachawi wenzao bila sababu za msingi
Wachawi ni watu hatari
 
Umefanya huo utafiti wapi?
 
Watumiaji WA uchawi ni watu wenye unasaba na unafukiki WA hali ya juu, ndio Yale makabila yanaitwaga ya waugwana maana anaweza kukuchekea usoni kumbe moyoni anakumaliza, then yake makabila yasiyoabudu uchawi wao ni mwendo WA kumalizana on the spot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…