Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

Mimi sio mchaga...lakin nawapa maua yao kwa kweli...huwez kimbia mfumo..hata kipindi natafuta mke niliomba nipate mchaga...Mungu ni wa wote...na nikampata...she z very smart evr...
 
Tuulize sisi tuliooa wachaga "MJINGA" baba mkwe anataka kuingia hadi chumba cha-kulala😡
 
Tuulize sisi tuliooa wachaga "MJINGA" baba mkwe anataka kuingia hadi chumba cha-kulala
 
Mtoa mada...ameleta mada yake ikiwa na maana nzuri kabisaa ni ni ukweli mtupu...sasa wachangiaji wameleta ukabila...labda mimi nikazie kitu kimoja...sisi sote hayupo anae ijua kesho yake vyema hasa maswala ya uzima...hiz commnt za chuki kwa kabila fulan hazisaidii mimi binafsi kabila langu halinifurahishi...nimezunguka zunguka..nimesoma soma...nimeona kuna kabila naweza adopt...ambalo litakaa kwenye mfumo wa akili yangu...siku zote mimi huwa naiga mazuri tu na yenye manufaa...nikachagua chagga...lina mfumo mzuri
 
Tatzo unapanki mkuu kwan jamaa amekuambia st james au kwanza unajua tofaut ya st na international? alaf hzo international unasema koz mm 2019 nilikuwa na supply mambo fluna hapo international school of mosh iliopo Arusha ksongo man kunaawa kabila jiran zenu waongelek sana lakn aisee wamaasai sjui wanamzamin naona saiv wameamka kwl aiseee kiukwl ndy weng na pia kuna makabila mengne kwaiyo kwa elimu kila kabila wanasoma
 
Ila US na NATO unaowatetea na kuwaona Mungu watu si ndo machoko wamejaa huko??
 
Yaan the way mnavyowaongelea wachaga mitandaoni na walivyo kwa ground ni tofauti kabisa.
Mbona sioni tofauti kubwa kati ya wachaga na watz wengine. Sote tupo kwenye umaskini wa kutisha. Nchi yetu bado inasafari ndefu sana kuanza kutambiana
 
Nakubaliana na wew kabisa. Hata hapa Dar katika machoko watano watatu ni wachagga wakiongozwa na Noeli Mushi
 
Kuna mmoja nishawahi omba namba ya supplier wa daftari enzi Fulani nikiwa chuoni yaani mie mwanachuo jamani,Sasa nikaomba shemeji yake nakuambia jamaa alitoka chobisi akanikofokeaje ,yaani Ile kuomba namba namie nichukue mzigo Kama yeye akaanza kunitisha kuwa kwanza inabidi uchukue mzigo mwingi mno Kama katoni 50.
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…