Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.

Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa na watoto zao., kazoea kwenda zaidi kijijini kwa mama kiijini kwa baba anaweza akawa hapajui ama kaenda zamani sana kiasi hata ndugu wa huko washamsahau ama kupoteza ukaribu.

Mtoto wa baba - Mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa baba kuzidi mama, ndugu alio nao karibu zaidi ni wale upande wa baba kina baba mkubwa, baba mdogo, mashangazi na watoto zao, kazoeshwa na kazoea kwenda zaidi kijijini kwa baba, huko wnamjua ni mtoto wa kaka yao wala si mgeni sana.

Kwanini watoto wa baba wana uwezekano (sio fuarantee) mkubwa wa kufanikiwa zaidi

Kwa asili ya ndoa, Mwanaume anaeoa huwa ana mafanikio zaidi kuzidi mwanamke anaemuoa, mara nyingi hali za wanawake kuwa chini kimaendeleo zina reflect na hali zao walikotoka + ndugu waliowazunguka, kuna vitu vingi hata visivyoonekana watoto wanavibebeba kwa kuwa upande wa baba au mama, si ajabu watoto wa mama kuw by product za asili za mama zao hata kimaendeleo na wale wa baba kuwa reflection ya maendeleo ya sehemu waliyozungukwa zaidi upande wa baba.
Haya mapenzi ni balaa aisee
 
Think out of the box, wewe unawaza matokeo ya Necta wenzako wameshazoea huko tangu enzi za mkoloni.

Kwenye elimu wamejiongeza, Arusha na Moshi ndio mikoa yenye international schools nyingi zaidi nyuma ya dsm, watoto wengi utaowakuta wenye asili ya Tz ni wachaga. shule kama Braeburn, International school of Mpshi, Consolata, n.k.

hizi saint mary, saint anthony sio interneational hazijakidhi wamepamba tu majina, International schools hazitumii mfumo wa necta, zinatumia mitaala international kiasi kwamba mtoto wa balozi wa Marekani anaweza kuja leo Tz na kuendelea shule kesho.
We bwege Arusha siyo kwa wachaga, pili shule zilizokuwemo pale Moshi zilikuwa za makanisa, alizitaifisha baba wa Taifa na walisoma watanzania wote siyo wachaga tu, hakuna mchaga alijenga shule yyte ktk shule zile. Kinachowasumbua ni kulazimisha sifa za kijinga na kujaribu kuwadanganya wasiowafahamu.
 
Kila nchi ina masikin hata ukienda marekan hukosi watu wanaolala nje Chief. Hebu nisaidie Sehem gan masikin au nionyeshe nyumba ya nyasi huko uchaggani tofauti na masikin wengine nchi hii. Halafu uende kwenye data za serikali yako uniambie mikoa inayoongoza kwa kipato cha watu hapa nchini. Tujue huo umasikin wa uchaggani
Mada ishaharibika hii kwa comment za chuki,
 
Kwahiyo wewe ukikosa duka la wahindi mjin akili yko inakuambia wamefilisika. Poor minded. Jiulize wameenda wapi wanafanya nini wapi. Mzee ule msimu wa kutafuta hela kwa style ya hard way ulishaisha sasa hiv wenzio wanatafuta in softway. Pesa hazitafutwi kijana pesa inategwa Chief.
Yah ndio kitu mnaweza kwa Sasa personal attacks but the truth is crystal clear hamna kitu wahindi unaosema bado wako posta na maduka Yao na wanauza kama kawaida na nyie MKo rombo na marangu mnaweweseka na pombe kali
 
NA WATOTO WA NDOA ZA WACHAGA WENGI WAO NI WA NJE YA NDOA...? Kwanin wanaume wa kichaga wabatrombewa sana wake zao hadi wanabeba mimba za wanaume wengine...? Anyways ukienda uchagani wanawake wanaambiwa wazae nje ya ndoa ili kuondoa mikosi au laana ya uzao wa mume wake 😅😂
 
Kwahiyo wewe ukikosa duka la wahindi mjin akili yko inakuambia wamefilisika. Poor minded. Jiulize wameenda wapi wanafanya nini wapi. Mzee ule msimu wa kutafuta hela kwa style ya hard way ulishaisha sasa hiv wenzio wanatafuta in softway. Pesa hazitafutwi kijana pesa inategwa Chief.
Halafu nyie kenge kwa Sasa hata akili hamna ni heri kuwaacha muendelee kulewa sifa za "uchaga"huku mkigeuka mafundi njaa daily
 
Naomba ukae chini ujielimishe zaidi kuhusu international schools, hio saint james haikidhi vigezo, international schools hazimo kwenye mfumo wa necta

View attachment 3017375
Kwasasa elimu ya Bongo hailipi!

Tunasoma Kwa mazoea TU,ndio maana mtaala mpya unakuja ku take over mtaala huu wa kikoloni!

Kwahiyo kujivunia div 1 au 2 Kwa Sasa ni ufala coz hitimisho ni kujikuta mtaani na ajira huna,
 
Kwahiyo wewe ukikosa duka la wahindi mjin akili yko inakuambia wamefilisika. Poor minded. Jiulize wameenda wapi wanafanya nini wapi. Mzee ule msimu wa kutafuta hela kwa style ya hard way ulishaisha sasa hiv wenzio wanatafuta in softway. Pesa hazitafutwi kijana pesa inategwa Chief.
Kweli mkuu aende kwenye soka la hisa la Dar es Salaam aone idadi ya Wachagga waliopo.

Wachagga kwa sasa wana shindana kimataifa na Igbos, Wakikuyu na Wasomali.
 
Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.

Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa na watoto zao., kazoea kwenda zaidi kijijini kwa mama kiijini kwa baba anaweza akawa hapajui ama kaenda zamani sana kiasi hata ndugu wa huko washamsahau ama kupoteza ukaribu.

Mtoto wa baba - Mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa baba kuzidi mama, ndugu alio nao karibu zaidi ni wale upande wa baba kina baba mkubwa, baba mdogo, mashangazi na watoto zao, kazoeshwa na kazoea kwenda zaidi kijijini kwa baba, huko wnamjua ni mtoto wa kaka yao wala si mgeni sana.

Kwanini watoto wa baba wana uwezekano (sio fuarantee) mkubwa wa kufanikiwa zaidi

Kwa asili ya ndoa, Mwanaume anaeoa huwa ana mafanikio zaidi kuzidi mwanamke anaemuoa, mara nyingi hali za wanawake kuwa chini kimaendeleo zina reflect na hali zao walikotoka + ndugu waliowazunguka, kuna vitu vingi hata visivyoonekana watoto wanavibebeba kwa kuwa upande wa baba au mama, si ajabu watoto wa mama kuw by product za asili za mama zao hata kimaendeleo na wale wa baba kuwa reflection ya maendeleo ya sehemu waliyozungukwa zaidi upande wa baba.

Unaleta story za kishamba sana mwaka 60
 
Wapambanaji tena,hawahawa wanaorukwa na wake zao kitandani na kuachwa wanakoroma?hawahawa wake zao wanakimbizana masokoni usiku kulisha familia?wachaga wanaume tena vijana wamechakaa na pombe hata kuoga shida,wengne ni bangi na mirungi plus udokozi wa kuku!!labda wachaga wa zamani sio wa sasa ambao wanalishwa na wanawake wanaopambana masokoni!
 
Halafu swala la maendeleo sio ubaba au umama ! inspiration inaweza tokea upande wowote ule!
Maisha ni uwanja was mapambano na mafanikio anayo Mungu pekee!

Japo mafanikio ya ukweli kabisa hapa duniani yaani mafanikio pure ya utajiri au Mali kwa kumtegemea Mungu na juhudi machache sana!!!

Wakiona umeinuka wataanzisha vikwazo ambavyo Hadi uvuke ushakua maskini tena
 
Bara hata mkitengana na zenji , bado kirusi cha ubaguzi kitaendelea daima ....Yaani ukabila wakati mtu anayongea hivyo kazaliwa Dar kwao hapataki anaenda mwezi mmoja ndani ya mwaka mzima
 
Kwa hiyo ukienda pale St James utakuta ni wasukuma ndio wanasoma!?
Hakuna out of the box mkaa umezaa majivu wachaga wa Sasa sio wale hustlers wa kwanza hata hizo Mali walizoachiwa zinachechemea
Wakati naanza biashara ukikuta sehem Kuna mchaga unaogopa kama utatoboa kwa Sasa unawatoa road vizuri TU na wanakimbilia nje ya mji na kitu kimoja nimejifunza kwa wachaga ni waoga mnooo wa ushindani kidogo tu anahama eneo au biashara inageuka zilipendwa
chuki yako ni kubwa sana we Mkinga
 
Back
Top Bottom