Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 651
7. WachaggaWote Mmeshaelewa mpeni jibu.
Kwa kuanzia
1. Wanyaturu
2. Wanyeramba
3. Washashi
4. Wambulu
5. Warangi
6. Wameru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7. WachaggaWote Mmeshaelewa mpeni jibu.
Kwa kuanzia
1. Wanyaturu
2. Wanyeramba
3. Washashi
4. Wambulu
5. Warangi
6. Wameru
Wote Mmeshaelewa mpeni jibu.
Kwa kuanzia
1. Wanyaturu
2. Wanyeramba
3. Washashi
4. Wambulu
5. Warangi
6. Wameru
Ukijua au tukijua itatusaidia nini? Ingawa habari hii inaweza kutufumbua macho, si rahisi kujua kwa vile haya mambo yanafanyika kisirisiri. Utaambiwa warangi na wengine bila kutaja wamachame au tuseme waarabu koko. Again tutafaidikaje na hili hasa wakati huu wa dot com?
Warombo ndio zao. ukiolewa huko lazima wakufanyie suna sicu7. Wachagga
mkuu samahani,washashi ni wa wapi?
Lady JD naona alienda huko Rombo juzi juzi na jamaa yake Gadna sijui kama amepona kukeketwa.
Unataka ukafanyiwe Tohara Dogo???!!!!!!!!
Tairi ndio kitu gani?
Mkuu! Inamaana kote huku ulipita kufanya "research"? Wewe mtu hatari sana aisee!Wote Mmeshaelewa mpeni jibu.
Kwa kuanzia
1. Wanyaturu
2. Wanyeramba
3. Washashi
4. Wambulu
5. Warangi
6. Wameru
mkurya yule
atakuwa alishaondoa mapema
Naona aliondolewa akiwa hajitambui, kwa sasa itakuwa inamuuma lakini ndio basi tena kimeshazikwa. Hawa wazazi wetu na mila potofu wametuumiza sana.
shinyanga... Wakorofi hao silaha kwa kwenda mbele... Mshashi akiwa na uchumi mzuri tucha kwanza atataka amiliki bastola