Ooh sawa mkuuMbilinyi ni Wakinga ila wengi wapo Songea na Mbeya kibiashara tu, Ila Mama yake Sugu alikua Chinga
Sent using Jamii Forums mobile app
pale mlandzi kipande cha mtongani, mlandiz bondeni, mbagara dawasco au kilangalanga upoKumbe Mr Blue ni homeboy
mndengereko wa kibiti kwa wakina mbosso hukoYeah Samatta ni Mzaramo though ana.muonekano kama mndengereko au Mngindo vile
Ndugu wa baba mmoja au ndg wa namna ganiKabila moja dogo linapatikana wilayani Bunda wanajulikana kama waikizu nimesoma na ndugu zake Ikizu high school
Sio dizain kama wamanyema,ni mmanyema pure,Wabembe,wabwali,wahorohoro,wabangubangu,kwa ujumla ndio huitwa (wamanyema) sababu asili yao wametokea sehemu inaitwa manyema DRC Congo,Kigoma Waha tu,ndio sio wamanyema sababu wametokea BurundiKigoma. Ni dizaini kama wamanyema vile
Makofi Kwa Kigoma tafadhaliKigoma boss,Diamond,Alikiba,Kaseja,Rashid juma,Muzamuri Yassini,Chege,Baba levo,Mzee Majuto,Salum kanoni,Said Swed,Mwasiti,Baruani Muhuza,wote hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwambia Jux Mmakonde Mnapigana.
Anyway Ukimwambia Baraka Mjaluo, Utapigwa !
Mzee majuto? Sio mtu wa Tanga?Kigoma boss,Diamond,Alikiba,Kaseja,Rashid juma,Muzamuri Yassini,Chege,Baba levo,Mzee Majuto,Salum kanoni,Said Swed,Mwasiti,Baruani Muhuza,wote hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wa baba ambao walinipeleka Hadi kwao na wanaudugu na Steven WassiraNdugu wa baba mmoja au ndg wa namna gani
Hapana, Jide si Mkurya, ni Mwikizu, kabila Fulani liko wilayani Bunda sehemu moja inaitwa Nyamswa.Jide Ni mkurya?
kelphin kepph
Ni kweli wana undugu na Steven Wasira. Nafikiri ni babu yake. Baba yake Jide ni mpwa wake WasiraNdugu wa baba ambao walinipeleka Hadi kwao na wanaudugu na Steven Wassira
Umenikumbusha mbali nyamswa,nilikuwa nikitoka nyumbani rikizo nalala hapo na mpz wangu kabla sijaripoti shuleni kwa wasabàto Ikizu high schoolHapana, Jide si Mkurya, ni Mwikizu, kabila Fulani liko wilayani Bunda sehemu moja inaitwa Nyamswa.
Daaaah! Upo vzr Kuna jamaa nilisoma nae aliwahi kunipeleka Hadi nyumbani kwa Wassira kipindi hicho tunafukuzia viza ya kwenda USA mwenzangu alifanikiwa yuko zake USANi kweli wana undugu na Steven Wasira. Nafikiri ni babu yake. Baba yake Jide ni mpwa wake Wasira
Ndugu wa baba ambao walinipeleka Hadi kwao na wanaudugu na Steven Wassira