Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?
Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
la musomaNdoo kabila gani hilo?
naona huwez tulia mpk utulizwe kwa makwaju eeh!!Lafudhi mbaya ni ya kizenji na ya kizaramo
kwani mleta mada anatakaje? refer hapo juu...mbaya ni ipi?Bas sawa! Naona kuna na vya kuichukia lafudhi ya mtu mwingine. ( au mi ndo sielew tofauti ya kutopenda kitu na kukichukia kitu!)
wanakuchekesha nn!! Kazi kuchunguza wenzako tu we mwenyeo usikute lafudhi yako mbayaamie mombasa na tanga naweza lala nikisikiza wakiongea.... wamakonde wapemba wanichekesha
huna adabu kabisaa na utakuwa mgogo wwLafudhi mbaya ni ya wakwere na wapemba!
Musoma kuna kabila linaitwa Mkudya!!!!!! au umekosea kuandika!la musoma
kama ni kwenu..ungekuwa karibu ningekuambia utamke mkudya na tungeona kinachotamkwa.Musoma kuna kabila linaitwa Mkudya!!!!!! au umekosea kuandika!
mkuu samahan kama hautojali hivi musoma kuna kabila linaitwa mkurya au Mkudya naomba unielimishe please.kama ni kwenu..ungekuwa karibu ningekuambia utamke mkudya na tungeona kinachotamkwa.
wamusoma ukimwambia atamke mkudya hawezi..anatamka mkurya. ni watani zangu nawafahamu kama wewe si mkudya niache
Ukipata kishtobe wa kitanga balaa tupu shehe wangu asubuh hiyo naulizwa "wataka chapati ya ngozi ngapi?" mi nimebaki nashangaa shangaa tu chapati ina ngozi? teh teh teh Tanga Raha.....
Ukipata kishtobe wa kitanga balaa tupu shehe wangu asubuh hiyo naulizwa "wataka chapati ya ngozi ngapi?" mi nimebaki nashangaa shangaa tu chapati ina ngozi? teh teh teh Tanga Raha.....
kwanza tujuane, we kabila ganimkuu samahan kama hautojali hivi musoma kuna kabila linaitwa mkurya au Mkudya naomba unielimishe please.
umepatia....Napenda kuskia watu wa pemba wakiongea yaani wale wapemba hasa
Pia napenda lafudhi yetu ya ki zanzibar tanga Na mombasa
Labda wamasai, ila Wangoni mbona kiswahili yao imenyooka tu..!Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?
Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.