mwambadog
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,736
- 1,446
Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?
Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
hujawai kutana na mtoto wa kisafwa akiongea weeee........ hata akiwa analia unafurahi jitaidi umpate alafu ulete mrejesho hapa. Onyo kama umeoa usijaribu