Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?

Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.

Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.

Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.

hujawai kutana na mtoto wa kisafwa akiongea weeee........ hata akiwa analia unafurahi jitaidi umpate alafu ulete mrejesho hapa. Onyo kama umeoa usijaribu
 
Bas sawa! Naona kuna na vya kuichukia lafudhi ya mtu mwingine. ( au mi ndo sielew tofauti ya kutopenda kitu na kukichukia kitu!)
kwani mleta mada anatakaje? refer hapo juu...mbaya ni ipi?
 
Musoma kuna kabila linaitwa Mkudya!!!!!! au umekosea kuandika!
kama ni kwenu..ungekuwa karibu ningekuambia utamke mkudya na tungeona kinachotamkwa.

wamusoma ukimwambia atamke mkudya hawezi..anatamka mkurya. ni watani zangu nawafahamu kama wewe si mkudya niache
 
kama ni kwenu..ungekuwa karibu ningekuambia utamke mkudya na tungeona kinachotamkwa.

wamusoma ukimwambia atamke mkudya hawezi..anatamka mkurya. ni watani zangu nawafahamu kama wewe si mkudya niache
mkuu samahan kama hautojali hivi musoma kuna kabila linaitwa mkurya au Mkudya naomba unielimishe please.
 
Ukipata kishtobe wa kitanga balaa tupu shehe wangu asubuh hiyo naulizwa "wataka chapati ya ngozi ngapi?" mi nimebaki nashangaa shangaa tu chapati ina ngozi? teh teh teh Tanga Raha.....

bwahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Umeshawai kuwasikia wandendeule kutoka namtumbo kila sentence bana wewe ...
 
Ukipata kishtobe wa kitanga balaa tupu shehe wangu asubuh hiyo naulizwa "wataka chapati ya ngozi ngapi?" mi nimebaki nashangaa shangaa tu chapati ina ngozi? teh teh teh Tanga Raha.....

bwahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Lafudhi nyingine mbaya kwa kanda ya ziwa ni wajaluo wanachekeshaa sanaa wanavyoongea sasa utapendaaa,yule gari alipata ajali in luo voice halafu hawajui kutofautisha vitu na watu
 
Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?

Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.

Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.

Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
Labda wamasai, ila Wangoni mbona kiswahili yao imenyooka tu..!
 
Back
Top Bottom