Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani

Naomba kuwasilisha

Pang Fung Mi
hii list ni batili kama waha watakuwa namba 3..muha yuko radhi ale ugali na chumvi anaelfu kumi mfukoni anahofia kuichenji.
 
Wachaga hawana ubahili wowote sema hawatoi pesa kizembe kwenye vitu ambavyo sio hobi yao kubwa, mfano mchaga sio rahisi kuhonga kizembe, kama kununua hata gari zima la pombe watu walewe mpaka wawe tusuuu, au kutoa pesa kununua gari kali na kujenga nyumba bora.
 
1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani

Naomba kuwasilisha

Pang Fung Mi
Sidhani kama ubahili una kabila. Nadhani kinachopishana ni priorities tu za mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.

Labda ungefafanua zaidi ubahili huo ni kwenye mambo yapi. u
1. ubahili kwenye kuhonga
2. ubahili kwenye kula vizuri
3. kuvaa vizuri
nk nk nk
 
Back
Top Bottom