Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

Utakuta mtu ni mpare, msabato halafu mfuasi wa Dr Janabi. Lazima moto wa ubahili uwake.
Kuna kisa Kimoja cha jamaa wa kabila hilo nilikuwaga nacheka sana. Jamaa alikuwa na ratiba za kula makande kupitiliza ndani ya familia yake af jamaa alikuwa kibosile kabisa jamaa budget yake ilikuwa kali mno ndani ya freezer anajaza kila aina ya vyakula ila ratiba za makande zikawa kubwa hadi nyama zinaozeana. .

Pona pona ya watoto ilikuwa ni mpaka aje mgeni.
 
1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani

Naomba kuwasilisha

Pang Fung Mi
Badilisha hiyo taito sema watu wanaoijua zaidi pesa...
 
Labda Wachaga wa zamani, Wachaga siku hizi ndio wanaongoza kwa kuhonga wakifatiwa na Wasukuma
Daktari mwenzangu🤔😅una mwanasheria kwanza? Umejuaje kama wasukuma tunahonga hivi unawajua wamakonde wewe
 
Sidhani kama ubahili una kabila. Nadhani kinachopishana ni priorities tu za mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.

Labda ungefafanua zaidi ubahili huo ni kwenye mambo yapi. u
1. ubahili kwenye kuhonga
2. ubahili kwenye kula vizuri
3. kuvaa vizuri
nk nk nk
Umekaa na wakinga wewe? Wapare na waha?!!
 
Sidhani kama ubahili una kabila. Nadhani kinachopishana ni priorities tu za mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.

Labda ungefafanua zaidi ubahili huo ni kwenye mambo yapi. u
1. ubahili kwenye kuhonga
2. ubahili kwenye kula vizuri
3. kuvaa vizuri
nk nk nk
Kwenye kula vizuri wasukuma watu toe
 
Wachaga hawana ubahili wowote sema hawatoi pesa kizembe kwenye vitu ambavyo sio hobi yao kubwa, mfano mchaga sio rahisi kuhonga kizembe, kama kununua hata gari zima la pombe watu walewe mpaka wawe tusuuu, au kutoa pesa kununua gari kali na kujenga nyumba bora.
Kwenye kuhonga wasukuma hawana mpinzani Pascal Mayalla si alishawahi gawa mshahara wote kwa mwanamke?
 
Back
Top Bottom