Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

Kwenye hilo kundi tuwatoe pia wapare mtani!
😁😁😁 wapare ndio wanatakiwa kushika namba moja mtu anajinyima mpaka anakufa na njaa huku akiwa na maburungutu ya pesaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sio kizazi hiki mtani, dunia imebadilika sana mzee. Watu wanahonga, wanakula na kunywa na hawawazi kesho itakuwaje.🀣
 
Wakinga sio wabahili mbona kaka Fure (vunja bei) anawaogesha Hennessy kina Gigi na machawa anawamwagia pesa.!! 😹

Kwahiyo na mkinga ulipita naye? Wacha weeh!! Em nambie kaka zangu wakoje kwenye 6 kwa 6 🀣😹😹😹
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja wa kikinga alikua anakula kg tatu za nguruwe na ndizi za 5000 peke yake , tulimwita big hana mpinzani 😁😁😁
 
Sio kizazi hiki mtani, dunia imebadilika sana mzee. Watu wanahonga, wanakula na kunywa na hawawazi kesho itakuwaje.🀣
Mimi ni mbahili sehemu zote hakuna mwanya ila pombe tu ndio najikuta nakua fala😁
 
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja wa kikinga alikua anakula kg tatu za nguruwe na ndizi za 5000 peke yake , tulimwita big hana mpinzani 😁😁😁
😹😹😹 Uongo, unatafuta pa kuwaponda kaka zangu..!!
Walaji minguruwe ni nyie kina Mangi 🀣
 
Mimi ni mbahili sehemu zote hakuna mwanya ila pombe tu ndio najikuta nakua fala😁
Ni asili ya mchaga, pombe ndio kila kitu kwake. Nikienda ukweni huwa nashika mdomo kwa mshangao. Watu wanaabudu pombe, wanaipenda na hawana kiasi kwenye issue ya kunywa pombe.
 
😹😹😹 Uongo, unatafuta pa kuwaponda kaka zangu..!!
Walaji minguruwe ni nyie kina Mangi 🀣
Hahaha huyo ni mkinga mkuu, halafu sio ma mangi wote wanakula nguruwe kwa wingi ukitoa rombo na kibosho hao wengine ni kwa uchache tu hata habari ya ulevi .
 
Nawakubali wachaga wa kiume, tukikutana na mimi msukuma aseeh ni full vibe hakuna ubahili
 
1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani

Naomba kuwasilisha

Pang Fung Mi
Ubahili ndio kitu gani wandugu?
 
Ni asili ya mchaga, pombe ndio kila kitu kwake. Nikienda ukweni huwa nashika mdomo kwa mshangao. Watu wanaabudu pombe, wanaipenda na hawana kiasi kwenye issue ya kunywa pombe.
Ni kwel mkuu ila kwa zamani ilikua haina shida kwa sababu watu walikula vyakula vya asili na walichapa kazi za kutoka jasho , vijana wa sasa wanafukia local bia na manguwe halafu wanashinda kwenye maduka tu ni tatizo.
 
Ni asili ya mchaga, pombe ndio kila kitu kwake. Nikienda ukweni huwa nashika mdomo kwa mshangao. Watu wanaabudu pombe, wanaipenda na hawana kiasi kwenye issue ya kunywa pombe.
Pombe inaabudiwa sana huko migombani, unakuta mtu anajisifia kabisa hadharani kuwa alikunywa hadi akazima na kubebwa.
 
Sidhani kama ubahili una kabila. Nadhani kinachopishana ni priorities tu za mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.

Labda ungefafanua zaidi ubahili huo ni kwenye mambo yapi. u
1. ubahili kwenye kuhonga
2. ubahili kwenye kula vizuri
3. kuvaa vizuri
nk nk nk
Mkuu no 1 hapo ni kwa vyote kula kuvaa kulala kila kitu hao ni mabahili
 
Mkuu no 1 hapo ni kwa vyote kula kuvaa kulala kila kitu hao no mabahili
Duuh siwezi kukupinga maana sijakaa nao wengi kiviile. Ila yupo jamaa yangu kwenye hao no 1 yeye kuspend 20 mpaka 30k kwenye dinner tena peke yake ni kitu cha kawaida. Au sijui kwa sababu ni wa hapahapa daslama ama vipi
 
Huyo wa Daslama mkuu.
Ilahiyo namba kwa ubahili na ubinafsi wana lead
 
Back
Top Bottom