ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Tulioko Njombe tunajua wakinga wana makoti yao special 😄 🤣 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjui kutongoza kwa maana hiyo njia pekee ni kutoa hela😅Kwasababu gani
Sijui kama ni msukuma wala sijui kama alishawahi kufanya hivyo labda aulizwe mke wake mkuu🤔Kwenye kuhonga wasukuma hawana mpinzani Pascal Mayalla si alishawahi gawa mshahara wote kwa mwanamke?
NamimiNaam, huja kosea jf nzima Mimi Sina gari, Wala nyumba
Aje akanushe hapa haha 😄 😆 😂 🤣Sijui kama ni msukuma wala sijui kama alishawahi kufanya hivyo labda aulizwe mke wake mkuu🤔
Hamjui kutongoza kwa maana hiyo njia pekee ni kutoa hela
its true,ila usitafsiri ni kuhonga,bali Wasukuma tuna roho nzuri sana!。Kwenye kuhonga wasukuma hawana mpinzani Pascal Mayalla si alishawahi gawa mshahara wote kwa mwanamke?
wakinga na wachaga wana ubahili chanya ( serving culture), the rest ni mabahili wa kujitesa bila maendeleo till the end of their miserable life1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Hahahahahahaits true,ila usitafsiri ni kuhonga,bali Wasukuma tuna roho nzuri sana!。
P
Hivi Lugumi ni msukuma?Kwa hyo unamsema lugumi
EehHivi Lugumi ni msukuma?
Ni chapa ng'ombe。Hivi Lugumi ni msukuma?
Hapana siku fahamu kwenye chama hikiNamimi
😂😂🤣🤣Kwenye kula vizuri wasukuma watu toe
Kwenye hilo kundi tuwatoe pia wapare mtani!Wachaga hawana ubahili wowote sema hawatoi pesa kizembe kwenye vitu ambavyo sio hobi yao kubwa, mfano mchaga sio rahisi kuhonga kizembe, kama kununua hata gari zima la pombe watu walewe mpaka wawe tusuuu, au kutoa pesa kununua gari kali na kujenga nyumba bora.
Mimi ndio mwenye chama hicho iweje humfaham mmiliki?Hapana siku fahamu kwenye chama hiki
Wapare wa wapi hao, nenda church uone wapare walivypendeza. Kwani wajaluo sio wabahili, tunao huku hawatoi hata senti dadeq, iwe ujenzi, uwe makambi, iwe nini...mwanzo nilijua kweli wapare wabahili, ila nimeishi na wakurya, wajaluo kanisani...woooi hatuna tofauti.🤪Na wanajibahilia hadi wao wenyewe. Mtu havai akapendeza, hali vizuri, hata anapoishi wa hovyo tu. Sasa sijui pesa wanatafuta za nini!!!