COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Huyo wa Daslama mkuu.Ila hiyo namba kwa ubahili na ubinafsi hawana mpinzaniDuuh siwezi kukupinga maana sijakaa nao wengi kiviile. Ila yupo jamaa yangu kwenye hao no 1 yeye kuspend 20 mpaka 30k kwenye dinner tena peke yake ni kitu cha kawaida. Au sijui kwa sababu ni wa hapahapa daslama ama vipi