Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwa ushahidi au utafiti upi kwani umewahi kuolewa na hao wote?1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
hii list ni batili kama waha watakuwa namba 3..muha yuko radhi ale ugali na chumvi anaelfu kumi mfukoni anahofia kuichenji.1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Pindua weka mpangilio wako ndio dhima ya Uzi weka mtazamo wakohii list ni batili kama waha watakuwa namba 3..muha yuko radhi ale ugali na chumvi anaelfu kumi mfukoni anahofia kuichenji.
Wasukuma gani hao mkuu??Labda Wachaga wa zamani, Wachaga siku hizi ndio wanaongoza kwa kuhonga wakifatiwa na Wasukuma
Wenye hela mkuuWasukuma gani hao mkuu??
😂 ila waha wanamezidi sema wazembe sana kwa wanawake1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Hahaha, sawaWenye hela mkuu
Wasukuma hawa hawa kaka. Kuna wale wa migodini yaani wakishapiga kilo au gramu zao kadhaa basi wao kuimport totoz kutoka bongo kwa gharama yyte kwao sio issue.Wasukuma gani hao mkuu??
aiseeWasukuma hawa hawa kaka. Kuna wale wa migodini yaani wakishapiga kilo au gramu zao kadhaa basi wao kuimport totoz kutoka bongo kwa gharama yyte kwao sio issue.
Sidhani kama ubahili una kabila. Nadhani kinachopishana ni priorities tu za mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
Wahindi wa tz1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi