Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.

1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga

Mtoa Post yuko sahihi, Mimi nipo Kondoa. Wa Rangi ni Kiboko. Pia usisahau uchawi na Uchoyo
 

Sahihi Wa Rangi wana Dunia yao. Wa Rangi wengi ni Ma Single Mother
 
Labda ndugu hajakaa nao hao.
Hata ukitaka kwenda kuoa mrangi wazee wanakwambia kaa tulia sema tukutafutie.
Sasa jikute mjanja vaba utaelewa huelewi.
Hizo tabia zote uchoyo na kugawa zinatoka na watu hao kupenda asili ya kwao.

Ukioa mrangi wewe mtu baki au unatoka mbali na kwao ,basi atakuwa na mtu wa karibu yake ya kwao anatoka nae hata aww ndgu yake mtoto wa shangazi.

Ogopa mwanamke anayependa kwao hao kutwa kurudi kwao kitu kidogo anaenda kwao.
 
Hamna kaka sio kweli.
Sababu kuu sio hiyo,niliwahi date mrangi kipindi nipo Ipuli Nzega aisee yule dem alitembea na crew yetu nzima ya watu 4 ikiwemo mimi kwa wakati tofauti halafu hapo kuna mnyamwezi,wapare wawili na mwarabu.
Hakuna mrangi hapo.
Hawatulii wakiona hata kijana mzuri smart wao ndio wanadata na kumtongoza.
 
Rafiki yangu alioa mrangi amekaa nae Dar basi akienda kwao anatoka na watu wa huko mpaka jamaa anapigiwa simu .

Kamtema akienda kwao hata kama kuna jirani anaumwa ,anataka kwenda kumuona gharama Dar mpaka Kondoa kwa basi ...Akifika huko kumbe ana yake kila mtu wa huko kwao anasema ni ndugu zake😅
 
Ukiwa na pesa hakuna mwanamke wa kabila lolote wa kukuacha hata ukimtukania mama yake.
 
Wale hawajali wewe wa kwao au sio wakwao.
Madame unasimama na mwanume smart basi unamlambisha lolo.
Yani wao kijana handsome ni kosa kwao hata awe msukuma.
 

MKuu uko sahihi, gharama ya konfoa DSM ni 40,000 kwa mabasi ya MACHAME AU ROOT AU KAMWANA. kuna jamaa smeoa mrangi ila jamaa ni mtu wa Tanga, yule demu huwa anamgogesha jamaa na kile ki stendi cha kweny Gesi. Na alishawahi kumwangia maji ya moto.

Demu wake kitu kidogo tu anampeleka USTAWI wa JAMII.

WA rangi ni wazuri w Rangi tu. Mambo mengine sio.
 
Aisee😔😔😔😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…