Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Yah, sio mbaya... maana pia inategemea na salary ya mtu
 
Je, nikisema kuwa natumia laki kwa siku utaniamini mkuu? Pia matumizi hutofautiana siku na siku especially mwisho wa mwezi na siku za manunuzi makubwa.
Approximate mean makadirio yaani ile gharama inayotokea mara nyingi, Mtu akidanganya hawezi kufaidika chochote maana mwisho wa siku nobody care
 
Kiukweli maisha ya mtaa ni magumu hasa kwa sisi wengine tunaoingia mtaani mara moja kila baada ya miezi isiyopungua sita. Kuna kipindi ilibidi nimuulize jamaa yangu hivi unawezaje kuishi kwa ukame huu??
 
Sio poa mzee, hasa DSM chakula ndo kipo juu kinoma ukikaa kizembe hela yote inaishia kwenye msosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…