Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Nkiwa kazini
1. Chai - 1000
2. Mafuta - 3000
3. Mchana - pasi ndefu
4. Dinner - 3000
5. Maji na chiga - 2000
6. Vocha - 1000.
Nkienda kuona familia
1. Majanga!
2. Majanga!
3. Majanga!
Upande huu hua haueleweki. So kama utaratibu ulivo, nkiamka nmenuna hakuna stori, kilichopo ndo kitachoenda kinywani.
Mambo yakikaa mswano napitia buchani kuchangamsha meno.
Zaidi ya hapo ni jam tu!
Dah! Kudadadeki maisha ni ngumu
 
Hamna wakati hela inatoka kama asubuhi.
Mfano watoto shule
Hela ya matumizi ya kila siku nyumbani
Nauli ya kwenda kazini
Bando za kwenye sim

Hili ni asubuhi tu, bado mchana ikiwa kazini
Bado jioni wakati wa kurudi nyumbani

Ufike nyumbani ukute bill za umeme, maji, king'amuzi,taka , usafi.

Kwa mzunguko huo sio chini ya 20,000 kwa siku.

Maajabu ya Mungu hapo unakuta mtu kipato rasmi hakifiki hata laki 5 kwa mwezi lakini mtu unatoboa na hakuna hata deni moja unalodaiwa.
 
5000-10000
 
respect mkuu🙌
 
Kiingereza hicho na upo chuo!!!..nchi hii Ina shida Sana siku za usoni
 
Mkuu[emoji119] kama ni kweli basi upo ngazi ya uchumi juu
Mkuu ni nilikosea kuandk ni hv
8,000 had 10,000
Naish mbali na familia huko wenyew wapo 5 wanatumia 4000 had 7000 maan vingn vpo ndan

Nisha edit pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…