Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
SahihiHuyu makonda atakuja kuwa kama job, maana atakosa upande. Amejichanganya sana. Mara anatetea wanyonge mara anasimama na mama yake hataki asemwe kwa mabaya. Atajikuta anaishia kujiuzulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiHuyu makonda atakuja kuwa kama job, maana atakosa upande. Amejichanganya sana. Mara anatetea wanyonge mara anasimama na mama yake hataki asemwe kwa mabaya. Atajikuta anaishia kujiuzulu
awapo = whenever (njeo ya wakati usio dhahiri, ujirudiao).Awapo ndio nini mleta mada?
MAKALA YUPO SAHIHI YULE MWINGINE NI KICHAAMakonda alizunguka mikoa ishirini akitangaza kutatua kero, ripoti yake ilipofika kenye chama ikawekwa kapuni.
Leo karibu mkuu ameeleza umma kwamba awapo tayari kuingilia mahakama. Je, wale wananchi walioshangilia ahadi za Makonda ikiwemo zile za kupingana mahakama watasaidikaje?
Kwanini CCM imewachanganya wananchi? Viongoz kila mmoja ana msimamo wake?
---
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amosi Makalla amesema lazima Watu wajue kuwa mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani na hakuna Kiongozi wa Serikali au Chama anayeweza kuingilia Mhimili wa Mahakama.
Akiongea Mkoani Katavi leo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCm, Emmanuel Nchimbi na Viongozi wengine, Makalla amesema
“Ninaposikiliza kero Mimi nimetoka kwenye Ukuu wa Mkoa, la kwanza tutasikiliza kero ambazo hazipo Mahakamani, siku moja nipo Mbeya kuna Mtu alikuja na makabrasha akasema Mahakama ya kwanza nilishindwa, Mahakama ya Wilaya nillishindwa, Mahakama Kuu nilishindwa, Mahakama ya Rufaa nilishindwa, wewe umeteuliwa na Rais tengua hizo hukumu zote, itawezekana wapi!?”
“Lazima Watu wetu wajue mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani, tutakachokupa ushauri basi kata rufaa, tunachowasaidia Wananchi yale mashauri ambayo yanahitaji mambo ya utawala, kwahiyo ukija mkutano wa hadhara tunawakaribisha lakini usilete mambo ambayo yapo Mahakamani, ukweli lazima usemwe itakuwa tunawadanganya tu Watu kwamba hili unajua lipo Mahakamani tutakusaidia, sio kweli lazima wakati mwingine tuwe Wakweli”
Katika hatua nyingine Makalla amesema katika jitihada za kuufanya Mkoa wa Katavi uwe na umeme wa uhakika, mradi kuunganisha Mkoa huo na gridi ya Taifa unaendelea kwa kasi na sasa umefikia 56%.
“Nilikuwa natembelea mara kwa mara kwenye jenereta zetu, umeme hautoshi unakatikakatika na huku mvua za radi zikianza kila saa umeme unakatika na wakati huo unaangalia Simba na Yanga halafu umeme unakatika, ninayo heshima na furaha kusema tayari Serikali inaendele kutekeleza wa kuunganisha Katavi na gridi ya Taifa, mradi umefikia 56% na kasi ya mradi huo mtaiona ikiendelea lazima tuwe na umeme wa uhakika”
Kesi iko mahakamani unataka mwenezi aamue kama nani? Jaman majukum ya mahakama yaachwe huko hukoMakonda alizunguka mikoa ishirini akitangaza kutatua kero, ripoti yake ilipofika kenye chama ikawekwa kapuni.
Leo karibu mkuu ameeleza umma kwamba awapo tayari kuingilia mahakama. Je, wale wananchi walioshangilia ahadi za Makonda ikiwemo zile za kupingana mahakama watasaidikaje?
Kwanini CCM imewachanganya wananchi? Viongoz kila mmoja ana msimamo wake?
---
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amosi Makalla amesema lazima Watu wajue kuwa mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani na hakuna Kiongozi wa Serikali au Chama anayeweza kuingilia Mhimili wa Mahakama.
Akiongea Mkoani Katavi leo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCm, Emmanuel Nchimbi na Viongozi wengine, Makalla amesema
“Ninaposikiliza kero Mimi nimetoka kwenye Ukuu wa Mkoa, la kwanza tutasikiliza kero ambazo hazipo Mahakamani, siku moja nipo Mbeya kuna Mtu alikuja na makabrasha akasema Mahakama ya kwanza nilishindwa, Mahakama ya Wilaya nillishindwa, Mahakama Kuu nilishindwa, Mahakama ya Rufaa nilishindwa, wewe umeteuliwa na Rais tengua hizo hukumu zote, itawezekana wapi!?”
“Lazima Watu wetu wajue mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani, tutakachokupa ushauri basi kata rufaa, tunachowasaidia Wananchi yale mashauri ambayo yanahitaji mambo ya utawala, kwahiyo ukija mkutano wa hadhara tunawakaribisha lakini usilete mambo ambayo yapo Mahakamani, ukweli lazima usemwe itakuwa tunawadanganya tu Watu kwamba hili unajua lipo Mahakamani tutakusaidia, sio kweli lazima wakati mwingine tuwe Wakweli”
Katika hatua nyingine Makalla amesema katika jitihada za kuufanya Mkoa wa Katavi uwe na umeme wa uhakika, mradi kuunganisha Mkoa huo na gridi ya Taifa unaendelea kwa kasi na sasa umefikia 56%.
“Nilikuwa natembelea mara kwa mara kwenye jenereta zetu, umeme hautoshi unakatikakatika na huku mvua za radi zikianza kila saa umeme unakatika na wakati huo unaangalia Simba na Yanga halafu umeme unakatika, ninayo heshima na furaha kusema tayari Serikali inaendele kutekeleza wa kuunganisha Katavi na gridi ya Taifa, mradi umefikia 56% na kasi ya mradi huo mtaiona ikiendelea lazima tuwe na umeme wa uhakika”
Ulichokielezea wewe hakiendani na mantiki ya mtoa hoja.awapo = whenever (njeo ya wakati usio dhahiri, ujirudiao).
Pia humaanisha ^wakati wowote^ unaorejelea tukio husika, au tukio linalojirudia.
Whenever he speaks, people are happy.
1. [Wakati wowote] azungumzapo, watu hupata furaha.
2. Azungumzapo watu hupata furaha.
3. Awapo katika mazungumzo, watu hupata furaha.
Walimu huwa mna mbwembwe sana!awapo = whenever (njeo ya wakati usio dhahiri, ujirudiao).
Pia humaanisha ^wakati wowote^ unaorejelea tukio husika, au tukio linalojirudia.
Whenever he speaks, people are happy.
1. [Wakati wowote] azungumzapo, watu hupata furaha.
2. Azungumzapo watu hupata furaha.
3. Awapo katika mazungumzo, watu hupata furaha.
Jamaa cha wapiga dili tupuNi sahihi chama na serikali kinahitaji vijana na ndiio walio wengi kwa mujibu wa sensa
Hawa wazee no please wanaendesha mambo kizamani sana Hata hilo la kusikikiliza wananchi kijana makonda ndio kalianzisha .Viongozi vizee vikongwe vilivyoko CCM wala havikuwa na huo ubunifu akiwemo Kikongwe Makalla mwenyewe
Mbowe ana wauma sn UWTAanze kupumzika Mbowe 🤣
Kwani kwa akili za watanzania wengi kuna hitaji mtu mbunifu?!!ni Mungu ndio aje aingilie kati,mtu anatengeneza tatizo,kesho anakuja kulitatua tena sio kwa kiwango kinachotakiwa unamuona bonge la kiongozi!!Sasa hawa wazee watafanya kitu gani wana ubunifu wowote?
Umenena kweliKwani kwa akili za watanzania wengi kuna hitaji mtu mbunifu?!!ni Mungu ndio aje aingilie kati,mtu anatengeneza tatizo,kesho anakuja kulitatua tena sio kwa kiwango kinachotakiwa unamuona bonge la kiongozi!!
Safi sanaMwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema katika Ziara yao Katavi na maeneo mengine watasikiliza kero za wananchi lakini siyo zile zilizoko mahakamani
Makala amesema wanajua Wananchi Wana changamoto mbalimbali na kimbilio lao ni CCM
Source Jambo TV
Acha tu mkuu!!kuna safari ndefu sana,sasa imekuwa ni kusifia tu,hali ya maisha ni ngumu na hao masikini ndio wanachezeshwa wimbo wa kusifia wasio ujua,wakati hao viongozi hawana shida,pesa kila siku inaliwa tuUmenena kweli
Nadhani wewe ndiye hukumwelewa muuliza-swali.Ulichokielezea wewe hakiendani na mantiki ya mtoa hoja.
'Awapo' yake alimaanisha ...'hawapo'...
Kwa viswahili vyao vya 'akuna' nk nk.
Mkuu, huko ni kukwepa uwajibikaji. Tuliosomea Q-ba tushamsoma mwenezi kitambo.Hata kama issue iko mahakamani, si aelezee position au maamuzi sahihi yanayitakiwa kufanyika? Mbona Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, amekuwa akieleza waziwazi kuwa wasimazi wa mirathi hawana authority kuuza ardhi au majengo ya mirathi, na mahakama zimekuwa zikibariki ardhi au majengo yaliyouzwa na wasimamizi wa mirathi, sasa kama hiyo elimu isingetolewa, wasimamizi wa mirathi wangeendelea kudhulumu.
Umeishia darasa la ngapi?Hata kama issue iko mahakamani, si aelezee position au maamuzi sahihi yanayitakiwa kufanyika? Mbona Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, amekuwa akieleza waziwazi kuwa wasimazi wa mirathi hawana authority kuuza ardhi au majengo ya mirathi, na mahakama zimekuwa zikibariki ardhi au majengo yaliyouzwa na wasimamizi wa mirathi, sasa kama hiyo elimu isingetolewa, wasimamizi wa mirathi wangeendelea kudhulumu.
Ni Afisa 😂Mbowe ana wauma sn UWT
Jamani, hivi kwa sasa watanzania, wengi, mumechanganyikiwa Sana. Hivi, kweli unaweza, kuandika Uzi mrefu kama gazeti, na ukaongea uongo mtupu. Ni lini na wapi Makonda alisema au aliingilia, issue za mahakamani? Nakumbuka Makonda alisema tena akiwa Njombe, kuwa watanzania wasikimbilie mahakamani. Lakin hakuingilia kesi za mahakamani. Yaan hoja yako muhimu ni kutaka kumsifia bumunda,, Makalla. Pole Sana.Makonda alizunguka mikoa ishirini akitangaza kutatua kero, ripoti yake ilipofika kenye chama ikawekwa kapuni.
Leo karibu mkuu ameeleza umma kwamba awapo tayari kuingilia mahakama. Je, wale wananchi walioshangilia ahadi za Makonda ikiwemo zile za kupingana mahakama watasaidikaje?
Kwanini CCM imewachanganya wananchi? Viongoz kila mmoja ana msimamo wake?
---
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amosi Makalla amesema lazima Watu wajue kuwa mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani na hakuna Kiongozi wa Serikali au Chama anayeweza kuingilia Mhimili wa Mahakama.
Akiongea Mkoani Katavi leo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCm, Emmanuel Nchimbi na Viongozi wengine, Makalla amesema
“Ninaposikiliza kero Mimi nimetoka kwenye Ukuu wa Mkoa, la kwanza tutasikiliza kero ambazo hazipo Mahakamani, siku moja nipo Mbeya kuna Mtu alikuja na makabrasha akasema Mahakama ya kwanza nilishindwa, Mahakama ya Wilaya nillishindwa, Mahakama Kuu nilishindwa, Mahakama ya Rufaa nilishindwa, wewe umeteuliwa na Rais tengua hizo hukumu zote, itawezekana wapi!?”
“Lazima Watu wetu wajue mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani, tutakachokupa ushauri basi kata rufaa, tunachowasaidia Wananchi yale mashauri ambayo yanahitaji mambo ya utawala, kwahiyo ukija mkutano wa hadhara tunawakaribisha lakini usilete mambo ambayo yapo Mahakamani, ukweli lazima usemwe itakuwa tunawadanganya tu Watu kwamba hili unajua lipo Mahakamani tutakusaidia, sio kweli lazima wakati mwingine tuwe Wakweli”
Katika hatua nyingine Makalla amesema katika jitihada za kuufanya Mkoa wa Katavi uwe na umeme wa uhakika, mradi kuunganisha Mkoa huo na gridi ya Taifa unaendelea kwa kasi na sasa umefikia 56%.
“Nilikuwa natembelea mara kwa mara kwenye jenereta zetu, umeme hautoshi unakatikakatika na huku mvua za radi zikianza kila saa umeme unakatika na wakati huo unaangalia Simba na Yanga halafu umeme unakatika, ninayo heshima na furaha kusema tayari Serikali inaendele kutekeleza wa kuunganisha Katavi na gridi ya Taifa, mradi umefikia 56% na kasi ya mradi huo mtaiona ikiendelea lazima tuwe na umeme wa uhakika”
Mkuu imekuwaje tena!Nadhani wewe ndiye hukumwelewa muuliza-swali.
Muulizaji akiungana na wewe katika hili, basi naye atakuwa hajielewi. 😂 Emb jaribu kusoma thread ili uone mantiki ya mtoa mada katika muktadha huo.