PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Well, sasa tunajua mgodi wa makaa ni wa nani ! Kasema Polepole
Kuna mengi
 
Sioni cha ajabu, ni, watz wanahaki ya kuwekeza, rasilimali za, nchi, sio, Mali, ya, ccm na, makada wao!
 
Mkuu Kalamu off topic kidogo, kuna ''bomu'' la '' Cable gate'' umelisikia?
Ndilo linalo'trend' (linalotamba) kwa sasa!

"Cable gate"? Tulichojuwa siku nyingi ni kwamba CCM huiba kura kwa njia mbalimbali; ikiwemo kuwatumia polisi na wengineo.

Labda tofauti kubwa ni hii njia ya kimtandao, ambayo nayo si ngeni sana; kwani tunajuwa toka enzi za akina Januari Makamba kuwa mchezo huo upo. Tofauti ni kuwa sasa tumethibitishiwa na mmoja wa wahusika wa ndani zaidi na kutoa ufafanuzi zaidi wa uhusika wa NIDA.

Sasa tumejuwa. Tutafanya nini kukomesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…